Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
4 Reactions
5 Replies
375 Views
Anonymous
Walituma text kwa watu ambao hawajachukua Vitambulisho vyao wafike office za NIDA kabla ya tarehe 28 Februari, 2025 ila utaratibu wa kukipata umekuwa mbovu sana sana haufai na sio sahihi...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam...
2 Reactions
2 Replies
755 Views
VIDEO Francis Butoto anayesadikika kuwa na miaka 64 Mkazi wa Kijiji cha Kishanda kata ya Kibare tarafa ya Murongo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ameuawa na kufukiwa kwenye shimo la choo...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Hellow! Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza, Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk...
6 Reactions
13 Replies
813 Views
Hizo ndo Mahakama zetu sasa , Wenyewe Wana Lugha yao utasikia "Technical Errors" https://youtu.be/ydRPqeEjo68?si=fXGHbowBJnoiD4pW
0 Reactions
5 Replies
429 Views
Kuna msemo unasema "Umeruka Vumbi Ukakanyaga Matope". Hakuna ubishi elimu yetu inahitaji over-hall, ni kweli kabisa kama tunataka kusonga mbele kielimu kuendana na ulimwengu wa sasa wa sayansi...
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Kwanini kadri siku zinavyoenda kusema ukweli, kuhoji au kukosoa unageuzwa Adui? Usipotekwa ni kwamba"UNAPOTEZWA"
7 Reactions
12 Replies
383 Views
Kwanini serikali isifute sera ya Elimu bure ili iweze kupunguza gap la kugharamia elimu nchini??
3 Reactions
6 Replies
340 Views
Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa...
1 Reactions
14 Replies
727 Views
MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI: Katika Mambo haya Hakuna yametofautiana kutokana na Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi. 1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA...
4 Reactions
9 Replies
563 Views
Mara Ninaporudi nyumbani nilipozaliwa huwa namuota sana marehemu mama yangu 🤔 Kwa namna anavyokuja ndotoni ni mtu mpole sana, mkimya,huniangalia na kutabasamu, mara nyingi huwa namuota yupo...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA. Mfumo huo ambao...
13 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, Imeelezwa watu wenye tabia ya kukopa mikopo ya mitandaoni na kisha kubadili laini zao za simu ili kukwepa ulipaji wa mikopo hiyo wapo hatarini kukosa mikopo kutoka kwenye taasisi zingine...
2 Reactions
4 Replies
968 Views
Katika nafsi yako nyeupe, Ebu jitazame na jitathimini logically acha mihemuko utafikiri kahaba kanunuliwa bia, then jiulize kuna maana gani ya kutengana kama wanadamu? Kama kuna mtu alishawahi...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye...
2 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED. Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…