Maafisa maendeleo ya Jamii pamoja na Watendaji wa Serikali wilayani Nyang’hwale, mkoani Geita, wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa vijana kuhusu matumizi sahihi ya mikopo ya asilimia 10...
𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗻𝗱𝗲𝗴𝗲 𝘇𝗮 𝗻𝘂𝗰𝗹𝗲𝗮𝗿 𝗱𝗿𝗼𝗻𝗲𝘀 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗿𝘂𝗸𝗮 𝗺𝗶𝗹𝗲𝗹𝗲 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗮 𝗮𝗿𝗱𝗵𝗶𝗻𝗶
Kampuni ya Teknolojia ya Nishati mpya ya Betavolt iliyopo nchini China imezindua betri ndogo ya Nyuklia...
Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha...
Naona Hati Miliki nyingi zina sharti la kuendeleza kiwanja ndani ya miezi 36, huu muda hautoshi, walau iwe miaka mitano, au ihesabiwe kwa asilimia ya maendelezo.
Ni hayo tu
Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025
1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra
2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone
3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi...
ELIMU MUSOMA VIJIJINI: MIJADALA YENYE MAPENDEKEZO YA KUBORESHA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU
Wataalamu:
*Dr Zablon Kengera, UDSM
*Dr George Kaangwa, UDSM
*Mr Jeff Makongo...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara...
Naomba kutoa taarifa juu ya utapeli wa Mtandaoni unaondelea kupitia account ya facebook inayojiita "HONDA AFRICA LTD" na Chanel ya Whatsapp inayojiita "HONDA AFRICA MOTORS"
Binafsi ninayeandika...
Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari nimeona nishee nanyi baadhi ya matukio ya kufanya kazi za kuajiriwa,iwe sekta Binafsi,mashirika au serikalini.
Kuna taasisi mahala Fulani kulikuwa na mkubwa...
Kuna wakati nakaa naangalia habari zipi zina mvuto kwa kuangalia idadi ya comments na views.
Nasikitika kuona kuwa threads za MAMA zinapata views na comments chache sana.
Hii kisaikolojia inaitwaje?
Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma imewaachia kwa dhamana wachungaji wawili James Michael Komba na Beatus Aron Mwambuchi wa mchungaji kanisa la TAG lililipo Lizaboni Manispaa ya Songea...
Vijana,
Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa
Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki.
Huyu angekuwa kwenye ndoa asingekutana na dhoruba hii.
Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa...
Imekuwa ni kawaida na mazoea makubwa sana sasa kwa madereva bajaji mkoa wa Mbeya kupakia abiria wawili mbele na wengine wakiwa wamening'inia na dereva kuendesha bajaji huku akiwa amechuchumaa tena...
Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za...
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani...
📌NIRC Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji...
Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la...