Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa 🙏
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu. Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele...
2 Reactions
5 Replies
522 Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi...
1 Reactions
0 Replies
236 Views
Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana. Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Juzi hapa kakamatwa kijana aliejifanya kuwa ni officer wa jeshi la JWTZ umri maika 24 kuna vitu JWTZ wanatakiwa kubadilisha cha kwanza vitamburisho Vitambulisho vinavyotumiwa na wanajeshi wa JWTZ...
23 Reactions
154 Replies
7K Views
Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu...
15 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares! Angalia tatizo ni nini na mtupe maji! Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa...
0 Reactions
3 Replies
321 Views
Mtu yoyote mwenye idea ya jinsi ya kupata link za tv channels kwenye iptv apps au ambae anauza link ya hizo channel anicheki pm 🙏
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Ni katika kuhangaika kupata maji leo asubuhi nikampanga kijana anaesambaza maji kwa kutumia gari akiniambia saa mbili asubuhi atakuwa ameshaleta hayo maji. Saa mbili na nusu nampigia kujua kama...
1 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF,nahitaji kufahamu ni mambo gani ya msingi yanayohitajika ili kuanzisha taasisi. Na je taasisi inaweza kuanzia ngazi ya Kijiji au kata? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
0 Reactions
2 Replies
580 Views
Nimeamua kuachana na nyeto , mademu ,kamali ,makundi, mitandao na show off sasa nimetimizq miaka 24 nishakua mkubwa. Mungu akipenda mwakani nioe maana kazi ninayo serikalini
3 Reactions
25 Replies
729 Views
Je, serikali imeshindwa kabisa kuwaondoa na kuwadhibiti watoto hawa wa mitaani wanaolala chini ya daraja la Ubungo(Kijazi interchange) na ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kusafisha vioo vya...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi kwanini hapa Tanzania matajiri au watu waliofanikiwa kimaisha hupenda kutuongopea kuwa wao wanafanya kazi kwa bidii? Kuna mmoja nlimskia anasema yeye hulala masaa matatu tu, hivi huo ni...
7 Reactions
16 Replies
957 Views
Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu...
8 Reactions
111 Replies
6K Views
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka Jana kati ya Julai na Oktoba kuliibuka matangazo mengi ya ubora na uzuri wa Iphone 15 na 16 copies! Tukaambiwa sio copy tu ni high copy! Mojawapo walioingia mkenge ni Mimi hapa! Nikaagiza...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Habarini wakuu, nina kero kuhusu ofisi za Kata ya Chamazi Magengeni zamani kilipokuwa kituo kidogo cha polisi. Majuzi wamekuwa wakikamata watu hasa wakina mama wanawachukua na bajaji mpaka kata...
1 Reactions
7 Replies
397 Views
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k. Sababu ya...
1 Reactions
24 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…