Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi...
Katika Uislamu, swaumu ya Ramadhan ni ibada yenye masharti na mwongozo maalum. Moja ya hoja zinazojitokeza ni iwapo kipofu anaweza kufunga, kwani kuna Aya na Hadithi zinazozungumzia umuhimu wa...
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu...
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa
Leo hii tuna vuguvugu la uekumene, kutafuta umoja ambao Yesu kabla mateso, kifo na ufufuko wake aliuombea (soma Yohane 17). Kuna mambo mengi tunayoshirikiana na...
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company .
Au mtu mwenye hoby kama yangu.
So naishia kugairi kila mara
Imagine sijafika hata BURUNDI tu.
Kusafiri mwenyewe...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda...
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia...
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa...
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano...
Mwaka 2016 mwanamke mmoja aitwae Margareta Boemers akiwa mjamzito wa miezi 6 alikwenda kliniki kwa ajili kucheck maendeleo ya ujauzito wake.
Baada ya vipimo mbalimbali ikiwemo ultrasound...
Kuna taarifa za takwimu zilisambaa mwezi February, 2025 kuwa kundi la vijana ndio lenye idadi kubwa katika idadi ya watu Tanzania. Baada ya kusikia hizo taarifa machozi yalinitoka hasa nikiangalia...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi...
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo...
Ni zile jamii za Wafugaji wa kuhama hama. Hawana makazi maalumu.
Leo wako mbeya kwesho wako Tanga.
Natoa wito kwa serikali, japo kila mtu ana haki ya kulinda, kutumza na kuishi kwa mujibu wa...