Wananchi na wafanyabiashara wa stendi mabasi ya Mlowo wamekoshwa na hatua za utekelezaji wa umaliziaji uliokuwa ukisua sua muda mrefu wa vibanda na miundo mbinu yake.
Wafanyabiashara hao...
Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma nchini PPRA, imefungua ofisi za Kanda ya kusini zitakazokuwa katika mkoa wa Mtwara, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdlah Mwaipaya ameongoza zoezi Hilo...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ,Bw Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo.
Akizungumza...
https://www.youtube.com/watch?v=jkX7xU7oW0A
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato, amesema ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba ni miongoni mwa miradi minne...
Naibu waziri wa Maji, Kundo Andrew Mathew amefanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa katika ziara hiyo Naibu Waziri wa Maji pia ameweka jiwe la msingi katika mradi...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule.
Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha...
Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha ameweka jiwe la msingi Shule mpya ya sekondari Bumva, Kijiji cha Bumva Kata ya Segese Halmshauri ya Wilaya ya Msalala iliyojengwa kwa gharama ya Sh...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, leo Machi 4, 2025 amewaongoza wanawake wa Wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule ya amali ya mkoa huo inayojengwa kata ya Unyambwa Manispaa ya Singida...
Habari wakuu jamani naomba kutoa kero yangu kwa barabara ya bagamoyo. Kwa hapa maeneo ya bunju B panatokea ajali za mara kwa mara kwa maana kuna mkusanyiko mkubwa wa watu na hakuna taa wala arama...
Wizara ya Utalii na mambo ya Kale Zanzibar imewapatia mafunzo maalum watembeza watalii 150 (Beach Boys) ili kuona kazi hiyo inafanywa vizuri kwa kulinda maslahi ya Zanziabr na tamaduni zisipotee...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete tunawaomba Mfanye malipo ya Kikao chenu mlichofanya Dodoma na Waandishi wa Habari Ukumbi wa Habari Maelezo, Tabia yenu ya kuwafanyisha kazi watu na kutowalipa...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange ameonyeshwa kukerwa na wasimamizi wa Ujenzi wa darasa katika Shule ya Msingi Golani B kwa kushindwa kutoa vizuri baadhi ya taarifa alizozihitaji kuzifahamu...
Kusitishwa kwa shirika la USAID na serikali ya Donald Trump kkutagusa maisha ya familia nyingi sana,
Sasa kama wewe ni mwathirika usipanick relax, wewe si wa kwanza kukutwa na hali kama hiyo...
MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati...
Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa.
Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi...
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea...
Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia
1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa...