Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Suala la matuta barabara ya Cheka - fery eneo la shule ya Meka na Dege centre. Pale shule ya Meka ndio kuna zebra kwa ajili ya shule ile yenye wanafunzi wengi tu wanaotoka mpaka Pemba, Mnazi na...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo...
6 Reactions
5 Replies
579 Views
Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo Kata ya Mpui, Halmashauri ya Wilaya...
2 Reactions
1 Replies
404 Views
Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi sio mwanasiasa ila kuna kitu nimeona kwa huyu mwamba. John Heche kwa sasa ni Makamu mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Huyu mzee ameonyesha umahiri mkubwa sana toka...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Kampuni ya taski mtandao Bolt imeweka bayana madereva zaidi ya elfu arobaoni (40,000)wamefungiwa akaunti zao kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya uhalifu. Hayo yamebainishwa na Dimmy...
1 Reactions
5 Replies
697 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameonya vikali wakuu wa taasisi za umma dhidi ya upendeleo na mianya ya rushwa katika teuzi zao...
2 Reactions
8 Replies
673 Views
Habari! Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu. Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini? Na hii Hali ni nzuri kweli? Najua wengi tushaiona hata wengine...
2 Reactions
14 Replies
610 Views
Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii. Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji...
3 Reactions
9 Replies
618 Views
Wande Mbiti (38), mkazi wa Kitongoji cha Busalala, Kijiji cha Nhelegani, Kata ya Kizumbi, mkoani Shinyanga, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba aliyokuwa...
2 Reactions
5 Replies
534 Views
Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu. Hakikisha Unathibitisha Taarifa...
5 Reactions
7 Replies
510 Views
Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini...
5 Reactions
14 Replies
736 Views
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, (Journalists Accreditation Board-JAB) imetakiwa kuhakikisha kuwa, waandishi wa habari wote nchini wanazingatia sheria, kanuni, viwango vya juu vya weledi...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo...
20 Reactions
375 Replies
15K Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. Telack ametoa wito huo mapema...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema ndoa nyingi za watumishi wa umma zinakufa kutokana na wenza kukaa mbalimbali na kwamba...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi...
0 Reactions
2 Replies
513 Views
Salaam watanzania. Nimeona niwajuze watanzania na vyombo vinavyolinda mipaka ya nchi hii kubwa na Tukufu. Kwa miaka zaidi ya minne nimekuwa nikitembelea mikoa tajwa,mambo niliyoona ni haya ; 1)...
0 Reactions
4 Replies
314 Views
Nimesikiliza interview moja hivi nimeshituka. Sikujua kama kuna ulemavu wa hivi! je kuna matibabu ya huu ulemavu?
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…