Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Familia mbili za Wastaafu wa serikalini ambao walikuwa wakiishi katika nyumba za Wakala wa majengo (TBA) jijini Arusha wanakumbwa na hali ya sintofahamu baada shirika hilo kuwafurusha kwa kutoa...
1 Reactions
2 Replies
471 Views
Habari za wakati huu wakuu! Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi...
8 Reactions
103 Replies
6K Views
Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane iliyopo Mbeya imekuwa na barabara zenye ubora mdogo kutokana na uwepo wa mashimo mengi ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa Watumiaji iwe wa Vyombo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu jamaa kanikumbusha mbali mno. Tunahitaji waalimu kama hawa. Mwanafunzi haboreki na masomo. Anatamani kukuche aende shule. Big up kwake...
0 Reactions
4 Replies
322 Views
A WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka wadau wa sekta ya ardhi nchini ambao wanadaiwa pango la ardhi kulipa deni hilo kabla ya mwaka wa fedha 2024/25...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna...
84 Reactions
185 Replies
14K Views
Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Priest in Britain Advises Congregation to Shoplift http://www.dailymail.co.uk/news/article-1237470/Priest-advises-congregation-shoplift.html A clergyman has been criticised as 'highly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40 Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni kipindi...
1 Reactions
0 Replies
380 Views
Jina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain...
22 Reactions
61 Replies
5K Views
Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
KARIAKOO DERBY Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa. Ili usiendelee kupata...
2 Reactions
4 Replies
442 Views
Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
4 Reactions
10 Replies
476 Views
Watu wengi wawe ndugu,jamaa,marafiki ,serikali,ccm mpaka wapita njia ukiwa unatafuta hakuna mwenye mda na wewe. Ila ukifanikiwa unaweza kusikia yule kazi wa maimum hata kama we ni mtoto haramu...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja. Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende...
3 Reactions
4 Replies
370 Views
Shura ya Maimamu Tanzania MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Katika kuunga mkono juhudi kampeni ya kuhakikisha watanzania wanatumia nishati safi na kuachana na matumizi ya mkaa, kampuni ya Alka Charcoal imeunga mkono juhudi hizo kwa kuzalisha mkaa...
3 Reactions
2 Replies
351 Views
Diwani wa kata ya Katangara Mrere, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro Venance Malleli, ameishukuru serikali kwa kukamilisha Miradi Mbalimbali ndani ya Kata hiyo ikiwemo Mradi wa Daraja la Mwamba...
1 Reactions
3 Replies
497 Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…