Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi yetu, Tanzania, imebarikiwa kwa utajiri mkubwa wa madini na maliasili. Dhahabu, almasi, tanzanite, gesi asili, chuma, na mengine mengi yamehifadhiwa ardhini, yakisubiri kuchimbuliwa na...
0 Reactions
7 Replies
445 Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Samahani ningependa ufafanuzi kwa yeyote unaefahamu procedures za kuanzisha na kusajili NGO. Gharama zake na vitu vinavyohitajika kukamilisha usajili. Asante.
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Kuna sms zinazunguka zinatumwa na mtandao wa airtel ni za kingereza. Sma hyo imeandikwa hv Your application has been approved, the salary is 22000-45000TZS per day. Contact information: ORA HR Ni...
1 Reactions
1 Replies
371 Views
Deo Mushi kada was CCM na Diwani wa zamani wa Kata ya Kibosho Magharibi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi Vijijini kuacha mzaha juu ya uuzwaji wa shamba la Shule ya msingi WERENI...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Kwamba fedha nyingi zilichapishwa kukiwa na kisingizio cha kuondoa fedha za zamani kwenye mzunguko. Sasa mpango wa kuondoa fedha kwenye mzunguko haukufanyika, na fedha mpya zilizochapishwa bado...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Na Mama Akishatia saini haruhusiwi hata kugusa mtoto pale atakapojifungua. Wanaita SURROGACY, ni njia ya usaidizi wa kuzaa ambapo mwanamke hubeba na kuzaa mtoto kwa ajili ya mtu mwingine au...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wakuu Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine Leo nimekuja mbele...
5 Reactions
6 Replies
320 Views
Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna. Namba zilizojazana sasa: Phonebook: 1.Athuman mchonga...
2 Reactions
1 Replies
209 Views
MCHUANO WA LEAGUE YA TRA 2025 1. Academic officer II= 3/2375 2. Accountant = 2/712 3. Accounts officer II = 12/2894 4. Administrative officer II = 3/2045 5. Ass.Accounts officer =10/1619 6...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Muda huu nasikia kipindi cha Good Morning,kinacho rushwa na WSF na Kuna shutuma zinatolewa kwa Wachina kwamba wamekuwa chanzo Cha matatizo kadhaa hapa nchini. Wachina wanashutumiwa kusababisha...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site" "Tunafika eneo...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Mafanikio katika sayansi ya uzazi yanaweza kubadilisha jinsi familia zinavyoundwa. Wanasayansi wameunda mfumo unaitwa in vitro gametogenesis (IVG), mbinu ambayo huunda manii na mayai kutoka kwa...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Nimepita hapa naelekea kwenye mishe. Yaani kuna kelele za kufa mtu. Sio binadamu sio sauti za kurecodi vispika vya wauza nguo, dagaa, wanaosajili line. nk kuna kelele mno. Siajabu hawa watu...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Leo nilikuwa na safari ya Dodoma, na ndugu yangu, Sasa mimi nilikata tickets mapema, yeye alitaka kukata jana but since morning web Inaonesha treni iko full Tulijaribu kupiga simu, walitujibu...
1 Reactions
7 Replies
512 Views
Nitoe Shukrani zangu za dhati kwa serikali na TRA kwa angalau kutoa ajiri kidogo kwa vijana wetu, ingawa bado is a drop in the ocean. Vijana ni wengi sana mtaani wanaohitaji ajira ila tunajua...
2 Reactions
8 Replies
607 Views
Anonymous
Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu...
0 Reactions
5 Replies
485 Views
Anonymous
Waziri wa Maji Juma Aweso alivyokuja alibadilisha uongozi kwenye idara ya maji hapa Morogoro na akasema maji yawe yanatoka hadi weekends kwa katikati ya wiki waweke utaratibu kama kutoka yatoke...
1 Reactions
3 Replies
578 Views
Maharusi mengi tunayochangia yaani mtu ushapakia bia zako za kutosha unakuta msosi mkubwa ni pilau au wali wa maji.
20 Reactions
94 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…