🇿🇦🇹🇿MZEE BABA🇿🇦🇹🇿🇿🇦
Nimekuja kwenu Watanzania kuongea yaliyo moyoni kwangu........
Baada ya uchunguzi wa kutosha na ushahidi upo.....
......MABAHARIA WANASEMA USITOE SIRI YA JANDONI SASA MIMI...
Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana
Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
Kusave hela ni changamoto sana. Ili ufanikiwe inabidi ufanye kila siku ili iwe tabia hata kama ni kidogo usidharau just save.Mwezi wa nane unakaribia wale wakusave hela huu uzi ni kwa ajili ya...
Tajiri Victor, alipatikana akiwa amekufa katika chumba chake cha kusomea, risasi moja ikapita moyoni mwake.
Kwanza, kulikuwa na elena, mke wa Victor wa miaka ishirini. Umaridadi wake ulifunika...
Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of...
Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia.
Watoto wanaokufa kwa njaa...
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio...
Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus...
Katika gazeti la The Independent, ambalo limebainisha katika tahariri yake kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza kutambua waziwazi kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin "si mfanyabiashara...
Neno la Mungu linasema
Kutoka 20:4-6
“Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa...
Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la...
Mimi binafsi
Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee
Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine
Na walijua fika...
Katika hali inayoonyesha kwamba Uganda si tu kwamba ni Taifa lenye Wasomi walioiva kabisa bali kama hujasoma ama katika Shule zao za Msingi au Upili au Vyuo Vikuu vyao basi jua hujaiva Kichwani...
USIWE OVER-ACTIVE KIHOLELA SANA KWA KWATU, USIWE TOO OPEN KIHOHEHAHE SANA KWA WATU MAANA WATA FYONZA NISHATI YAKO HUKU WAKIONGEZA YAO.
MAHUSIANO YASIO NA AFYA.
URAFIKI USIO NA MIPAKA
CONNECTIONS...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini.
Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio...
Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi.
Humu...
Kijana aitwaye Muhunzi Azizi, mwenye umri wa miaka 20, amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali katika Mtaa wa Kirika B, Kata ya Osunyai, jijini Arusha.
Kwa mujibu wa...
Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?