Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu...
Hizi ni pesa, na mjini hakuna kitu cha bure. Wale waliotoa pesa wanajua zitawarudia vipi
Ukitendewa ubaya na tajiri wa mjini—iwe ni kukanyagwa, kudhulumiwa mali zako, au kupigwa bila sababu...
Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili...
Mwanaume ni kiumbe muaminifu mnoo, na Wanawake wanatujua na kutuamini kwa uaminifu na uadilifu wetu.😇
Imagine, Mtu unaachiwa kuanzia kiuno kushuka chini, halafu mwenye navyo kalalia zake mto na...
Kuanzia Mwaka 2020 hadi 2025, Mkoa wa Mara umeimarisha huduma za afya kwa kuongeza vituo kutoka 321 hadi 421, nyumba za watumishi kutoka 221 hadi 286, na wafanyakazi kutoka 2,515 hadi 3,644...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa mkoa huo una jumla ya watumishi 12,863 walioajiriwa katika Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kada za afya...
Jumla ya wachimbaji wadogo 25 kutoka katika mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapa Kazi, uliopo kijiji cha Mwongozo Halmashauri ya Shinyanga, wamefukiwa na kifusi baada ya...
Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
Wazee kuna hawa watu wanaitwa migambo (kesho la akina). Naomba niulize hivi anayemfundisha mgambo si ni mjeda? Inakuwaje hawa migambo wanakuwa na uwezo wa kutembea kichapo naweza kusema hata...
Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya.
Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi...
Wakuu,
Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti.
Wanawake wanasema kuwa wanaume...
Mt 7:12 SUV
Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.
https://youtu.be/nge-eSSieQk?si=AxwY78gCwWhV1ZCg
Leo nimebahatika kupigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi sana wa kijijini akanisimulia kisa na kuniuliza maswali ambayo sikuwa na Majibu.
Kijijini kwao kiongozi weo alikuwa anaitwa Kifungo...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshusha kiwango cha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa biashara ndogo kutoka asilimia 18 hadi asilimia 16, ili kuhamasisha ukusanyaji wa mapato kupitia malipo...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam.
Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani...
Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.
Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya...
DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA.
Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya...
Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta...