Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na...
Wale wauwaji wa marehemu Barlow wamefikishwa leo (muda si mrefu) katika mahakama ya hakimu mkazi jijini Mwanza, lakini baadhi yao wana majeraha sijui yametoka wapi.
Mmoja anachechemea na mwingine...
Nimeona hili tangazo asubuhi ya leo eneo la TAZARA (DSM), kwenye service road inayotokea DT Dobie kuingia barabara ya Nyerere/Pugu. Kweli tumekata tamaa kwa kiasi cha watu ku-take advantage kwa...
Napenda kutumia fursa hii kuwatahadharisha wakala wa tigo rusha kwa wizi unaoendelea huku Moshi, kwa jana tu jumla shs milioni moja na laki sita zimetoweka kwa kwa wauzaji tofauti...
Chained and shackled with iron bars and cuffs, slave bones believed to date about 1700 AD have been discovered at Kimu in Bweni, Pangani District in Tanga Region.
Speaking to this paper in an...
The five most visited porn sites in Egypt rank at numbers 15, 23, 29, 67, 83, with two X-rated sites appearing in the country's top 25 most-browsed sites. (Photo courtesy of The Jordan Times)
By...
Sumatra kutangaza kuwafutia leseni watakaopandisha nauli za kwenda mikoani, na je, linatekelezeka?
Pia naona kama hii ni kwa wanaoanzia Dar, vp kuhusu watokao mikoani kuja mjini?
MTOTO Ester Damian (si jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 10 anatembea kwa kuchechemea kuelekea katika viwanja vya chama cha Ushirika cha Uru-Mawella vilivyopo katika kata Uru Kusini Wilaya...
Baada ya juzi kuripoti hapa wizi wa mamilioni ya pesa kwa malipo hewa kwa interns, ofisi ya mkuu wa mkoa ilichukua hatua za kufuatulia. Mganga mfawidhi dr. karia aliwasilisha karatasi za malipo na...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini (Chadema),Philemon Ndesamburo
Daniel Mjema, Moshi
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema), amethibitisha kuwa anaumwa...
Wana jamvi heshima kwenu. Kesho hapa chuoni kwetu ni siku ya mwl Nyerere, atakuwepo mgeni mama Migiro. Nini maoni ya wadau nipeni hoja za kuwawakilisha ni wapi pa kumbana huyu mama.
Yaani hii nchi sijui tulete malaika kutoka mbinguni aje aongoze, yaani kila idara ya serikali utendaji kazi ni wa hovyo hovyo tu. Road license yangu ilikuwa inaisha tar nane mwezi huu. Nimekwenda...
Kuna utapeli wasikuizi ni hatari.. Kama wiki mbili zilizopita katika gazeti la Mwananchi la tarehe 2 novemba niliona tangazo la chuo cha afya cha Eckernforde Tanga University kwa wito kwa...
By Nancy Sathre-Vogel
Now that Im old and gray (but not quite in my rocker yet!) I look back on my life and think about things I wish I knew earlier. It would have made my life so much...
Wana JF..
Ninaomba mwenye contact numbers za hiyo kampuni mpya ya ndege ya bei nafuu anipe.. Ninategemea kuwasafirisha wazazi kwenda Mwanza kwa ajili ya graduation ya ndugu yangu.. Mnajua jinci...
Chuo kikuu cha Dodoma kimetoa tangazo kwenye gazeti la Daily news la tarehe 12/11/2012, ukurasa wa 20, kuhusu usaili wa watu waliomba kazi chuoni hapo katika kada zote. Tangazo hili limeeleza kuwa...