Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jasusi ni mpambanaji tokea miaka hiyo akikata mkaa huko kolomije hajawahi kupoteza pambano.
9 Reactions
33 Replies
939 Views
Ni kazi ya Mungu. Ni Mapenzi ya Mungu. Mungu amependa zaidi. 👆👆 👇👇 🗑️🗑️ YA DUNIA NI YA DUNIA TU, YA MUNGU NI YA MUNGU
0 Reactions
7 Replies
210 Views
Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa...
13 Reactions
35 Replies
1K Views
Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana...
2 Reactions
17 Replies
471 Views
Tafakuri Jadidi: Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani? - Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi? Jibu: Ndugu zangu, Kuna wakati Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, alipata kuongea na...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Eze 7:26 SUV [26] Madhara yatakuja juu ya madhara, na habari ya shari juu ya habari ya shari; nao watakwenda kwa nabii kutaka maono; lakini hiyo sheria itampotea kuhani, na mashauri yatawapotea...
2 Reactions
1 Replies
243 Views
Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬 1.Kilimanjaro 2.Shinyanga 3.Simiyu 4.Kagera 5.Singida 6.Rukwa 7.Tabora 8.Dodoma...
17 Reactions
186 Replies
12K Views
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu nimekuja na huu uzi wa kuwaindentify/ kuwatambua kuwaanika na kuwaexpose maafisa wa polisi na Vikosi vingine kama KMKm waliohusika na mauaji ya kuanzia tarehe 29 Tumeona video nyingi sana...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
1 Reactions
4 Replies
289 Views
Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Wadau naomba ushauri. Msiba wa mama yetu mwaka jana July na hadi muda wameshindwa kutimiza ahadi zao zote walizokuwa wameahidi kwangu na uwezo wanao. Ahadi wakitoa wao wenyewe baada ya maziko tena...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Leo dunia inaadhimisha Siku ya Kupambana na UKIMWI chini ya kaulimbiu “Overcoming Disruption, Transforming the AIDS Response” , yaani kushinda vikwazo na kubadilisha kabisa jinsi...
1 Reactions
0 Replies
378 Views
Huu ndiyo ushauri wangu kwa wale wote wenye tamaa ya kutaka kumiliki gari hapa mjini, wakati hata bando la internet kulipata ni shida. Mkipuuza ushauri huu, wafanyabiashara mtaua hizo kabiashara...
5 Reactions
5 Replies
257 Views
Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya...
2 Reactions
30 Replies
519 Views
Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za Afrika umezidi kuwa wa kina, maeneo ya ushirikiano yamepanuliwa kutoka siasa kama ilivyokuwa kwenye miaka ya 70, na...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Unavyozidi kuwashambulia wapigania haki ndivyo wanazidi kuongezeka.. Sikia dakika mbili hiii 👇🏾👇🏾
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Guine bissau is Loading...... Anyway kuna hii trend ya mapinduzi ya kijeshi barani afrika. Kama umenotice kitu, kwamba hao Marais hawauliwi kama ile wave ya coups za miaka ya 60 na 70. Unajua...
33 Reactions
34 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Wambieni na wengine ambao hawajui Asanten sana LONDON BOY Tumsifu YESU KRISTO
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…