Katuni ya DW imeonesha inahusu hali ya kisiasa nchini Uganda kuelekea katika uchaguzi mkuu kesho huku kukiwa na malalamiko ya kukatwa kwa huduma ya internet katika nchi hiyo, Rais Museveni...
Vyombi vya habari na mitandao ya kijamii inamfahamu kama mkurugenzi wa RHG company, kampuni inayohusika na Clearing and fowarding na ni mawakala wa forodha.
Hili jina leo nimekumbuka ile kesi ya...
Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.
Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni...
1:KANUNI YA KUMILIKI MAFANIKIO HAPA DUNIANI LAZIMA UWE MTOAJI NA MKONO WA KUTOA KUWAPA WENGINE .
Hii inatumika kwa wanadamu wote bila kujali imani zao,hata uwe mchawi,uwe freemanson,uwe...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga leo Jumanne, Januari 13, 2026 kuanza kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuchepusha fedha na kuisababishia Wizara ya Tamisemi hasara...
Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama
Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa
1. Ujasusi
Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje...
Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣.
Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo.
Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni...
Jamhuri imepanga leo Jumanne, Januari 13, 2026 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo, wafanyabiashara sita wanaokabiliwa na kesi ya kuwasilisha nyaraka za uongo katika Bandari ya Dar es...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amewataka watu wanaojishughulisha na vitendo vya kihalifu kuacha mara moja na badala yake watafute shughuli nyingine halali zitakazo...
Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu.
Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na...
Mwenye macho haambiwi tazama.
Mwenye masikio haambiwi sikia.
Tutarajie wazanzibari wakipiga hatua za kimaendeleo kwa kasi sana kupitia mgongo wa Tanganyika huku Tanganyika tukiendelea kudidimia...
Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha?
Ujue kuna maeneo Dar...
Wakazi wa Kipunguni A na Kipunguni Mashariki(Dar es salaam) tunasumbuliwa na kelele za sauti kubwa ya mziki unaopigwa na JAKICHA MOTEL.
Tulishapeleka malalamiko yetu katika vikao vya serikali ya...
Habari Tanzania !
Nawaomba basi wenye mamlaka mturuhusu Vijana na hata wazee waweze kuwa na Party/ Sherehe ya Mtaa yaani wana mitaa tunakusanyika tunapiga cha Pilau safi na kupiga mastori ya...
Makonda: Tutaunda kitengo kusambaza habari za Tanzania kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. "Kazi yake ni habari ikifanyika inachukuliwa inapelekwa kwenye vyombo vya kimataifa ili sura yetu na...