Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha...
Tafadhali husika na kichwa cha uzi huu.
NSSF Wamekuja na mbinu mpya zifuatazo ili kuhakikisha wanufaika hawapati hela zao:
Hawajatangaza mahali popote kwamba fao la Kujitoa limerejeshwa licha ya...
Huku mitaani kuna watu wananunua unit za umeme takribani sh. 350 kwa unit 1, na wengine bei ipo chini zaidi kwa unit 1.
TANESCO, Naomba kujua tofauti hizi za bei zinatokana na nini...
Wana JF, kumekuwa na kipeperushi hiki kinasambaa mitandaoni na kwenye magazeti (kama inavyoonekana hapo chini) kikionesha tangazo la mnada wa hadhara wa mali za kampuni kongwe ya uchapishaji...
Ushauri uliotolewa kwamba bandari kavu ziondolewe katikati ya Dar es Salaam na shughuli za kuhifadhi pamoja na kusambaza mizigo zielekezwe zaidi katika Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani...
Wananzengo kama jina la uzi wetu unavyojieleza hapo juu.
Geographia ya mkoa wa Pwani kuingiliana na mkoa wa Dar es salaam, pia kutanuka kwa miji na uwingi wa watu. Hii imepelekea baadhi ya maeneo...
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
Maoni
Habari za leo wadau,
Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu
1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi...
Wakuu nadhani wengi mmeiona hiyo clip inayozagaa huko mitandaoni, ikionesha vyombo vya dola vikishirikiana na mamlaka ya kudhibiti vyakula na Dawa nchini Rwanda (FDA) kakita opareshi maalum ya...
https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0
Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo...
Salama wanajamvii.
Sasa leo tutaje barabara zenye kero
Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road...
KILO MOJA YA NYAMA INAWEZA KUWA KILO MOJA KWENYE MIZANI, LAKINI SIYO KWENYE UZITO HALISI?
Kuna jambo nimeanza kulifikiria sana kuhusu biashara ya nyama jijini Dar es Salaam.
Sijafanya utafiti...
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya...
Nimeona hawa watangazaji wa Wasafi wakigusia kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere na kuhoji deni la ujenzi litaisha lini, kwa maana ya tozo zinazokusanywa kila siku, sasa ni lini deni la ujenzi wa...
Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia...
Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si...
Kiukweli kati ya mambo yanayonikera na nayoyaona ni wizi wa wazi au tozo ambazo ni kero ni huu unaoitwa Ushuru wa stendi.
Logic ya hii tozo ni nini ikiwa abiria anaenda kusafiri na Haingizi Pesa...
Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe.
***
Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya...
Katika mambo yanayoshangaza sana nchini ni ubutu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara nchini (Fair Competition Commission, FCC). Kuna mambo mengi sana nchini yanafanywa na wafanyabiashara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.