Habari ya kusikitisha kwetu wapenzi wa twanga pepeta, mpiga tumba maarufu wa band yetu mcd amefariki huko moshi kwa maradhi ya kifua kikuu
mungu amlaze mahala pema peponi
The 2014 Golden Globes Awards took place last night Sunday January 12th at the Beverly Hilton Hotel Los Angeles. Above are Paula Patton, Guliana Rancic, Kate Beckinsale & Reese Witherspoon. See...
Staa wa nyimbo za kibongo ambaye pia anatamaniwa na waume wengi, Snura a.k.a Mamaa Majanga amewaudhi Baraza la Sanaa la Taifa kwa video yake ya Nimevurugwa, jambo ambalo limewafanya kupiga...
Katika wanamuziki wooote Tanzania basi hakuna wasanii wenye maisha mabaya na yasiyoeleweka kama maisha ya wasanii wa hiphop.
Si kwamba muziki wao haupendwi, muziki wao unapendwa sana hasa na...
Kiroho safi tu naomba kufunguka ya moyoni kidogo,Diamond ni miongoni mwa wasanii wachache wanayoiwakilisha vyema Tanzania kwenye anga ya muziki nje ya mipaka ya Tanzania na mara nyingi amekuwa...
Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na
Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi...
Jamani mwenye track za huyu mama (Patricia Hillary), naomba msaada wenu mana sijui hata wapi naweza kupata album yake. Licha ya kum-google sijapata hata site moja yenye nyimbo zake, especial...
Msanii wa Bongo Movies Deogratius Shija alipata wakati mgumu wakati alipotokewa na ------ huku akidai kuwa amemtamani.
Msanii huyu ambaye amejitosa katika tasnia ya uigizaji aliongea na paparazi...
Siku chache kwa mtandao kulizuka mijadala mikali baada ya Bonge La Nyau kuingia kwa mtandao na kudai kuwa Diamond aache kashfa.
Lakini sahizi kumeibuka mengine kuwa Bonge La Nyau hana bifu...
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
Namba 4...
Maana naona mtu anajiachia tuuu mjini as if nothing happened in April 2012. Wataalamu wa mambo ya sheria njooni hapa mtufahamishe, dhamna imekua kama kuachiwa huru? Tunamkumbuka sana Kanumba na...
Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.
Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza...
Msanii wa Bongo ambaye bado ni mchanga katika sekta ya usanii kwa upate wa umaarufu ameamua kumtemea mate Diamond Platinumz kwa kumwambia aache kashfa. Katika akaunti yake ya Facebook, msanii huyu...
Beyonce, Ciara, Amber Rose, Taylor Swift and Alicia Keys looking fabulous at last night's 56th Annual Grammy Awards held at The Staples Center in Los Angeles and hosted by LL Cool J for the...
Tyra Banks is said to have a new man in her life and hes a billionaire to boot.
According to reports, the supermodel-turned-media mogul is dating Iranian-born Shervin Pishevar, who is the...