Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Bobbi Kristina Brown's family members have reportedly gathered to say goodbye, People reported on Thursday (today). The news comes just a few days after the 21-year-old daughter of Whitney...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Please Revive this Spirit...! God is ready to intervene. Judith Wambura & Gardner Habash
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Whitney Houston's mother returns to hospital to be at granddaughter's bedside amid claims she is AVOIDING Bobby Brown Cissy Houston, 81, arrived at the Emory University Hospital on Saturday Has...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano. Sijawahi kufanya mapenzi na mtu...
0 Reactions
104 Replies
20K Views
kama mnavyoona wakuu,wengine wanasema ni udhalilishaji wengine wanasema poa tu,sijui nyie mnasemaje,je ndio kiwango cha usanii kinakua hivyo?
0 Reactions
53 Replies
41K Views
Kwenye huu wimbo wa Lekadutigike kuna mstari unaosema Kigoma ni lango la Tanzania. Swali langu limekuwa ni lango kwa namna gani?lango la kwenda au kutoka wapi?, Sababu kama ni kuwa mpaka kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa. Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
DIVA wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa alikosea kuzaa nje ya ndoa, na sasa hana mpango huo tena. Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila kupenda...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa mara ya kwanza kwama najitokeza kuuliza swali ambalo nahisi majibu ninaweza kuwanayo ila labda sijajua kuwa haya nilionayo ndio majibu sahihi. Siunakumbuka enzi za soma hadithi hii kisha...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Mwanamuziki mashuhuri, Dionne Warwick, mama mdogo wa Whitney amekutwa bafuni hajitambui, akapelekwa hospitali hali yake tete . ============ It's incredible ... Dionne Warwick -- the cousin of...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Najua mlinimiss sanaa polen kwa kunimiss sasa leo naja na hii ambayo tayar ishakua Confirmed Baada ya Zari kutua Dar takribani week sasa akionekana na mizunguko ya pamoja na mpenzie Diamond...
0 Reactions
158 Replies
20K Views
Msani mahiri wa bongo flava Jux leo amepost mjengo kwenye account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii...
0 Reactions
38 Replies
19K Views
Huwa najiuliza sana kwa hawa watu kwanini wanapenda sana kila wanachofanya kije kwenye media. LE MUTUZ huyu jamaa kila anachofanya lazima aweke kwenye media. Mara nimefungua ofisi mara leo nafanya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana kuathiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Hivi huyu nguli wa maigizo yu wapi jamani? mwenye taarifa zake!!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
The Mail revealed this week that the Duchess of Cambridge's uncle, Gary Goldsmith, (top left) had posted a picture on social media of his wife Julie-Ann (top row, third from left) that bore a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wote ni wahangaikaji na wana watoto na ni wazuri .nani mzuri zaidi ya mwenzie
0 Reactions
61 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…