Kumekuwa na taarifa mbalimbali zikiendelea kusambaa juu ya Nay Wa Mitego kufulia mpaka kufikia hatua ya kuuza magari yake yote na sasa ameonekana mara kadhaa akitembea na bajaji hali ambayo...
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama...
Habari za kunyapia nyapia Wolper na yule serengeti boy wake sasa wameshagawana hamsini hamsini baada ya kiben ten kupost picha ya mahaba akiwa na mwanamke mwingine.
Hizi ni baadhi ya picha...
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya...
Hizi tuzo alizoshinda naomba tu iwe fundisho kwa wengine kutomsingizia uongo mtu.
Hizi tuzo zinatoa tafsiri ya kuwa anao mashabiki wengi duniani. Hao views ni wachache kuliko kuliko waliompigia kura.
Hitmaker wa Seduce Me, Alikiba amefunguka juu ya mahusiano yake na Mange Kimambi.
Mara kadhaa Mange amekuwa akimpa support kubwa msanii huyo huku akimtetea kwa kila hali endapo hali ya...
Kamati ya Miss Universe Tanzania chini ya Mkurugenzi na muandaaji wa Shindano hilo Maria Sarungi-Tsehai inawakaribisha Warembo wote kwenye usahili wa MISS UNIVERSE Tanzania 2017.
Vigezo ni:
-...
Mwanamuziki Diamond Platnumz amezidi kuonesha ubora katika muziki wa Bongo Fleva kwa kushinda tuzo nyingine hapo jana Oktoba 9,2017.
Usiku wa Oktoba 8 kutoka Dallas huko nchini Marekani...
Habari ndugu zangu..
Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one.
Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia
Nilidhani aliacha hii tasnia
Inasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond...