Kwanz kabisa ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
kwa Mwenyezi Mungu kwa siku ya Jana....Tarehe 30 march
niliwasili salama salimini mjini bukoba Mkoani Kagera....Pili...
Napenda kuchukua Nafasi Hii Kumshukuru mungu kwa
uzima na afya tele aliyonijalia.....
Mpaka kuwasili salama bukoba tarehe 30 march mwaka huu
.....Pia napenda kuwashukuru mashabiki
wote wa mjini...
Show ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond...
One of Beyonce's close pals just shared a little too much information with Star Magazine. See it below...
While she lets Jay-Z be the alpha male most of the time, Beyonce takes charge when it's...
kwa nini wasanii wengine nao wasiige ubunifu kama huu wa diamond?kuanzia utofauti wa mavaz yake kwenye shows,uchezaji n.k kuliko kulia lia kuwa wanarogwa
WAGANGA 12 WAJITOKEZA KUPAMBANA NA "JINI MAHABA" LINALOMSUMBUA LADY JAYDEE
WAGANGA wanaodai kuwa ni wataalam na wana uzoefu wa kupambana na jini mahaba linalomsumbua Mwanamuziki Judith Wambura...
Yule mtangazaji wa siku nyingi atuma dongo kwa magazeti ya UDAKU hasa hasa yanayomilikiwa na global publisher na kiu na amani ambayo yanaandika sana habari za mastaa wa movie kua ni magazeti ya...
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
Kama mdau kwenye sekta ya usanii napenda kutoa wito kwa mwimbaji mashuhuri DIAMOND KWA KUACHANA NA MAPENZI YA IRENE UWOYA.
PENGINE ANAHISI NI SIRI ILA BINAFSI KAMA KAKA NINAEMJUA NA KUMJALI...
Leo nimemuona TBC, anaongza kipindi maalum. Mada ni upatikanaji wa gesi asilia kuna dalili tukapata majibu. Ameanza na historia nzuri sana, at aonyeshe Songo songo na Mtwara. KIjana nampenda sana...
FILAMU ya aliyekuwa nguli wa
tasnia hiyo hapa nchini, marehemu
Steven Kanumba, inayokwenda
kwa jina la Love and Power
inatarajiwa kuzinduliwa rasmi
Aprili 7, mwaka huu.
Filamu hiyo, ambayo...