Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dunia nzima inalipia gharama ya vita walivyovianzisha Trump na Netanyahu dhidi ya Iran. Gharama za maisha zimepanda duniani kote kwaajili ya Trump kumlinda Netanyahu na bahati nziri watote...
1 Reactions
3 Replies
36 Views
Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya...
3 Reactions
26 Replies
234 Views
Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuja kuwa Maarufu kwa kiwango hicho Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu Taarifa zingine zinaeleza kwamba...
15 Reactions
55 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta kisheria baadhi ya kanuni zinazoruhusu adhabu ya viboko shuleni, baada ya kuzitambua kuwa zinakiuka Katiba ya nchi kwa kukinzana na haki ya utu wa binadamu na...
8 Reactions
72 Replies
515 Views
Benki ya Dunia (World Bank) imeitaja Kenya kuwa miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya ufisadi katika kundi la mataifa yenye kipato cha chini cha kati, ikionya kuwa rushwa, mikataba ya...
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Kama Kuna hesabu za Kijinga zilizofanywa na Idi Amini kwa Lengo la kuhakikisha 2030 anamchomeka Mtu wake wa kumlinda. Ni hesabu za hovyo ,za Kijinga kabisa na Hatutaliruhusu hili.
0 Reactions
2 Replies
10 Views
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro. Majengo yake yako imara na Ina vyumba vya kutosha vya madarasa, maabara, dinning hall, mabweni, kiwanja Cha mpira, maji all the year...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hiyo keshooo hiyoooo! Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu viongozi, wanachama, wafuasi na umma kwa ujumla kuwa kesho ijumaa tarehe 6, Novemba 2026, kujitokeza kwa wingi...
1 Reactions
8 Replies
101 Views
Ingia jf, Google nk ila kuipondea TikTok ni uongo, ukiplay video mbili tatu, bando la mia Tano chali, unakuja kusingizia HUIPENDI tik tok Kuna utoto, we acha uongo, watu wenye majina na matajiri...
5 Reactions
43 Replies
249 Views
Nikapata wasi wasi mkubwa na kuingai kwenye search kuona maana ya " shall be liable" kama likivyotumika kwenye penal code section 39(1)d alichoshutakiwa nacho Lisu. AI imenipa majibu haya ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
2,108,397
Posts
56,481,436
Back
Top Bottom