Happy Sunday Wakuu
Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka
Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana
Mwenye taarifa zake...
Unachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.
Bado ni yaleyale: anaonekana online...
Katika kuboresha utendaji kazi wa Serikali na kutokana na baadhi ya viongozi kustaafu kazi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa...
Unatamani kipaji na umaarufu kiasi cha kuwa tayari kuuza nafsi yako katikati ya giza la usiku?
Mwaka 1713, Tartini akiwa na umri wa miaka 21, alidai kuota ndoto iliyomshitua sana. Katika ndoto...
Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗
Wallah nilipigwa kiboya Sana!
Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea...
Ladies and Gentlemen
KISASI SIYO DHAMBI
Akikusaliti na wewe msaliti
Mmeo akizaa nje,na wewe tafuta mtu umpe zawad ya mtoto .
Mmeo/mkeo akikuzuia kushika simu yake ujue ana mchepuko ...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..
Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.