Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani Mwanangu alipanic vibaya sana...
7 Reactions
67 Replies
407 Views
Wakuu, jana nilikuwa sehemu maarufu kwa nyama choma ya mbuzi. Watu huwa ni wengi kiasi kwamba wengine husafiri zaidi ya kilomita 100 kwenda kula mbuzi choma, hasa weekend! 😂🐐 Nikiwa nimekaa na...
6 Reactions
12 Replies
89 Views
90% ya wanaume hao wanatia shaka mahusiano yao ya mapenz au wanaenda kujiweka kalibu na wanajisaji
0 Reactions
3 Replies
4 Views
1. Ili kujikomboa kutoka kwenye mahusiano yaliyojaa ugomvi mtupu..! funga fundo gumu kwenye uzi mweusi, ushikilie juu ya mshumaa uliowashwa na useme maneno haya "Kifungo kilichogeuka kuwa...
4 Reactions
22 Replies
112 Views
FOREVER YOUNG 🥹 Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young? Mimi natamani forever niwe young Lakini je ni kwamba tunaogopa kuzeeka au tunaogopa kua wa dhaifu kutokana na uzee ? Kipindi...
22 Reactions
212 Replies
977 Views
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili. Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM. Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya...
6 Reactions
40 Replies
482 Views
Ili apatae cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:- Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza...
2 Reactions
40 Replies
147 Views
Ushoga ni kitendo cha mwanaume kuruhusu kufirwa kwa ridhaa yake mwenyewe (ashakumu si matusi, hilo neno linatakiwa litajwe kama lilivyo) na kufanya vitendo vingine vya kike halafu shoga ni...
2 Reactions
41 Replies
384 Views
WANAJF, SINA MBELE WALA NYUMA… NI MATESO TU 💔🥀 Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unajiuliza, hivi mimi nilikosea wapi? Unajitahidi, mambo hayaendi. Unapanga, mipango inavunjika. Unajipa...
8 Reactions
43 Replies
219 Views
Wakuu... Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!
8 Reactions
25 Replies
182 Views

FORUM STATS

Threads
2,098,920
Posts
56,325,379
Back
Top Bottom