Imefanya nchi kuwa maskini toka tupate uhuru kutoka kwa mkoloni.hadi sasa ni umaskin tuh hatuna cha maana ni upuuzi tuh.
Uganda, Kenya ipo mbele yetu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kuna mtanzania anaishi nchini Uholanzi (Rottardam au Amsterdam) anaendesha genge la uhalifu mbalimbali na ukwepaji wa kodi. Government officers kimyaa.
Makosa yake ni...
Hivi udhaifu ni kile kitu ambacho tayari unakifahamu kuhusu wewe mwenyewe ?
Mfano, mtu anajua kwamba ana tabia fulani ambayo inajirudia kila siku na kila mara tabia hiyo inamuangusha au...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao...
Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!
With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
Yesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona.
Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na...
Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, amesema taarifa zinazodai kuwa Deo Ndejembi anatoka upande fulani hazina msingi, akieleza kuwa Ndejembi ni Mgogo, huku mama yake akiwa anatoka Kilimanjaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.