Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Jana Chivayo alikuwa mjini, na kwenda kusalimia Ikulu kulingana na picha pamoja na melezo aliyoweka. Safari hii amepewa na maelezo ya kuandika kwenye caption. Unadhani ni mazungumzo gani...
1 Reactions
14 Replies
77 Views
Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya...
9 Reactions
182 Replies
2K Views
CHADEMA imeguswa na viongozi wake ! Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji, Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa...
13 Reactions
24 Replies
382 Views
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu...
1 Reactions
32 Replies
121 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
162 Reactions
639K Replies
40M Views
Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana. Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo...
8 Reactions
24 Replies
209 Views
hiyi taarifa imekaaje maana ina trend sana mitandaoni
4 Reactions
16 Replies
94 Views
Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na...
7 Reactions
44 Replies
308 Views
Jana usiku nilikuwa macho saa 7 nikitazama launch ya Artemis 2 live. Kwa wale hawajui, hii ni mission ya NASA itakayozunguka mwezi ndani ya siku 10 tu. Nilikuwa nasherehekea moyoni, nikijivunia...
3 Reactions
16 Replies
77 Views
Jumanne, Machi 31, 2026, mnamo saa 3:23 usiku (9:23 PM) “Ndugu zangu, wananchi wa Israel, katika mkesha wa Sikukuu ya Uhuru, Israel iko imara kuliko wakati wowote. Dunia nzima inasikia sauti yetu...
3 Reactions
7 Replies
86 Views

FORUM STATS

Threads
2,049,454
Posts
55,184,910
Back
Top Bottom