TUHESHIMIANE PART 2: SHIDA YA MWENZAKO SI SABABU YA KUMDHALILISHA
Kuna jambo moja ambalo tunapaswa kulielewa katika maisha: Kuwa na shida hakumaanishi mtu amepoteza thamani yake.
Leo unaweza...
Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.
Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 01 Oktoba, 2026, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, katika hafla iliyofanyika Ikulu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa iwapo Serikali haitakuwa tayari kuheshimu demokrasia, chama hicho kitachukua hatua za kuishinikiza Serikali.
Heche ameyasema hayo leo...
Teolojia kama maigizo, lakini yanaonyeshwa kana kwamba ni historia!
Injili ya Marko
inaeleza kwamba Yesu alihukumiwa kwa hatua mbili. Kwanza, alihukumiwa na baraza la Wayahudi kwa kosa la...
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani...
Habari Wakuu, kuna hili suala la watu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wakiwa nchi tofauti. Mfano mmoja yupo Tanzania na mwingine yupo kati ya nchi mojawapo ya Ulaya au America au Australia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.