Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.
Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu...
Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi...
Mitandaoni kumeibuka mjadala kuhusu muonekano wa msanii wa Tanzania, Juma Jux, baada ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kudai kuwa msanii huyo amepungua uzito kwa kiasi kikubwa.
Baadhi...
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Sefu Musa amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na askari watatu katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, baada ya yeye na wenzake kutuhumiwa kuwa ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu mambo ni aje.
Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza..
Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili...
Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ?
Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza...
Ni dhahiri sasa niwasanue enyi wanachama wa jamii forums..
Kabla sijajiunga humu miaka ya nyuma kidogo.. Nilidhani jamii forums ni mtandao wa ma genius.. Yaani ukikutana na wazee wa nakwambia jf...
Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu.
Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.