Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
hizi ni fikira finyu wanaowaza kikubwa hawawezi kuongea hayo bali wataleta hoja za kujenga, think wide a bit!!

wewe si ndio unawaza kikubwa jadili hoja usikurupuke ukaanza kulialia hapa....umeguswaaaaaaaaaaaaa ehehhehehheehehehheheheh
 
Kwa muda mrefu matamshi ya ZK huwa yana kaharufu ka u-opportunist. Nimesoma makala ya Zitto ya Miles Zenawi (RAIA MWEMA)na nafikiri alikuwa hamuelewi vizuri Zenawi na ikanipa shaka juu ya fikra zake na upeo wake katika siasa. Namshauri ajikite kusoma vitabu vya scholars na aongeze elimu, maarifa.nk. Suala la umri katika siasa halipo na kuliingiza hilo ni kutaka kupata support ya vijana tu. Mtawala wa sasa alichukuliwa kama kijana ambaye angeleta maendeleo ya kiana yake lakini contrary to that wameibuka self made tycoons wa kila aina. nafikiri tushukuru uhuru alioutumia Zitto wa kutoa maoni yake mapema na CDM imuangalie sana huyu kijana. Haitakii mema. Mbona ana haraka hivi?
 
jamani oneni MAAJABU YA DUNIA HUYU MTU ANTAKA CHADEMA ICHUKUE NCHI KUPITIA ZITO HUKU ANADAI CHADEMA NI CHA WACHAGA NA NI CHA KASKAZINI. SASA WAPIGA KULA UNAWASHAURI NINI SI WAKIOGOPE CHADEMA NA HUYU ZITTO. TATIZO NI POMBE YA UKABILA UNAYO KUNYWA.

Tatizo ni unga wa ndere ulionyweshwa.
Tapika tukupe wa rutuba.
Zitto ni mwanachama wa chadema hivyo ikitokea akagombea kupitia cdm japo najua haiwezekani kutokana na kwamba si mkaskazini tutamchagua zitto kama zitto .
Asipopitishwa atagombea kama mgombea binafsi na bado tutamchagua zitto kama zitto.
Elewa soko hilo.
 
Elewa somo hilo.
 
Zitto wa Zuberi Kabwe kama unaacha siasa za ubunge ili ukawe mpiga debe wa Rais kupitia CDM unakaribishwa!!! Kama unataka kugombea urais kupitia CDM nakushauri ujiunge na SSM unayoitumikia ili ukagombee kule URAIS. Kwa CDM wewe ni msaliti until you prove otherwise. Imani imepotea.

Amewasaliti wachaga na movement for chaga ili lema apate posho ya kujikimu baada ya kuvuliwa ubunge.
zitto ndie rais wa watanzania wote na ni kweli kamsaliti mzee mtei na kauli yake ya kwamba hata mwachia chama mtu asiyemjua yaani asiemkaskazini.
 
Siongei habari za wachagga hapa maana mimi si mchagga na kupendwa CDM inapendwa na watu wote kwa sasa isipokuwa wale pro mafisadi na chama cha mafisadi ila nina hakika 2015 hata chama cha mafisadi watapigia kura CDM. Subiri uone. For Zitto, huko kwako ndiko mpeni urais, kwa CDM hawezi kupita na kama anatamani sana aondoke aje kwenu. Sasa hivi si ukanda wala udini wala ukabila, ni ukombozi wa nchi hii inayoliwa na wachache wengi wao mafisadi na wafadhili wenu.
 
Kwa muda mrefu matamshi ya ZK huwa yana kaharufu ka u-opportunist. Nimesoma makala ya Zitto ya Miles Zenawi (RAIA MWEMA)na nafikiri alikuwa hamuelewi vizuri Zenawi na ikanipa shaka juu ya fikra zake na upeo wake katika siasa. Namshauri ajikite kusoma vitabu vya scholars na aongeze elimu, maarifa.nk. Suala la umri katika siasa halipo na kuliingiza hilo ni kutaka kupata support ya vijana tu. Mtawala wa sasa alichukuliwa kama kijana ambaye angeleta maendeleo ya kiana yake lakini contrary to that wameibuka self made tycoons wa kila aina. nafikiri tushukuru uhuru alioutumia Zitto wa kutoa maoni yake mapema na CDM imuangalie sana huyu kijana. Haitakii mema. Mbona ana haraka hivi?

kikwete alichukua nchi akiwa na miaka55 kwa hio si kweli kwamba kikwete alikuwa kijana.
Zitto ni kijana wa kweli kiakili mpaka kiumbo.
 
msaliti ni huyu hapa dr.slaaa

>amewasaliti waroma aliowatumikia kwa miaka 20.....akakimbia upadri
>amewasaliti ccm aliowatumikia kwa miaka 45....amekimbilia chadema
>amemsaliti mke wake wa ndoa rose kamili..amekimbilia kwa josphine na ametelekeza familia

sasa unategemea huyu atakuwa kiongozi bora>>>>>>>au unataka uwe tomaso

zitto kakusaliti kwa lipi????

Usipende kulia lia tu..umekua sasa jikaze..

The next president zitto zuberi kabwe

Zitto hawezi kuwa Rais wa nchi hii, mnafiki huyo mchukueni. Si mamluki wenu mnamtumia kuua CDM?. Aliyekuambia Dr. kasaliti upadre ni nani? Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake, bora yeye kaamua kuweka wazi kuliko hao wenu wana vimada kila kona na tunatumia kodi zetu kuwaweka mjini!! Tuanza kuwataja? Usilete za kuleta na mstakabali wa nchi yetu hii.
 
Siongei habari za wachagga hapa maana mimi si mchagga na kupendwa CDM inapendwa na watu wote kwa sasa isipokuwa wale pro mafisadi na chama cha mafisadi ila nina hakika 2015 hata chama cha mafisadi watapigia kura CDM. Subiri uone. For Zitto, huko kwako ndiko mpeni urais, kwa CDM hawezi kupita na kama anatamani sana aondoke aje kwenu. Sasa hivi si ukanda wala udini wala ukabila, ni ukombozi wa nchi hii inayoliwa na wachache wengi wao mafisadi na wafadhili wenu.

M4C ya dar es salaam lema alilamba pesa yote na slaa kakikopa chadema pesa ya ruzuku mil 140 na akajengea nyumba pale tegeta kwa hio mpaka sasa chadema hawapeleki ruzuku mikoani huo sio ufisadi?
 
Acheni MAWAZO MGANDO! Kwani ZITTO kutaka kugombea urais ni haramu au dhambi? Mnatia huruma!
 
nimekuelewa kiongozi mzuri kwako ni yule anayehangaika na wake za watu..au ni yule anayeua wenzake ili awe mwenyekiti wa chama??
Zitto kabwe mikono salama isyonuka rushwa,wake za watu wala damu ya mtanzania yeyote

zitto viva president

Gongo2 bado hujajibu kitu kabisa, kama utampima mtu kwa kuangalia wake alionao au anakula na nani basi hutampata mtu wa kuongoza hata huyo zito unemtetea
amemzalisha mtoto wa watu na hajamwoa. kwa kweli sipendi kujadili mambo ya kimbea fikiri kwa ukubwa kisha jibu hoja kupitia hiyo tujifunze kama huna hoja kaa kimya utaonekana una hekima. wala slaa hajamwaga damu labda uthibitishe
 
Zitto hawezi kuwa Rais wa nchi hii, mnafiki huyo mchukueni. Si mamluki wenu mnamtumia kuua CDM?. Aliyekuambia Dr. kasaliti upadre ni nani? Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake, bora yeye kaamua kuweka wazi kuliko hao wenu wana vimada kila kona na tunatumia kodi zetu kuwaweka mjini!! Tuanza kuwataja? Usilete za kuleta na mstakabali wa nchi yetu hii.

Nae zitto kaamua kuweka wazi kwamba atakuwa rais wa tanzania kama slaa alivyo amua kuoa na kuacha upadri.
Slaa hafai hata kuwa kalani wa hospital ya kata mzee kachoka mbaya na mapenzi ya ukubwani ndo balaa tupu.
 
Mimi nadhani wana-CDM hatuna haja ya kumhofia Zitto. ZZK sio muislamu kivile, kwa hiyo hawezi kuhatarisha agenda yetu.

Kati ya mambo ya hatari mnacheza nayo ni hili neno DINI. Hakika ikiwa kama Taifa hatutajitathimini na kuendelea na upuuzi huu wa kuimba udini udini hakuna jiwe litakaobaki limesimama. Maadamu hakuna viongozi wa kuweza kukemea hili maana ndilo lililobaki linalowaweka madarakani basi hakika tutafika huko mnakokutaka.

Hivi ni kigezo kipi kinachomfanya mtu awaze dini, kabila au ukanda mtu anakotoka? Unawezaje mtu na akili zako timamu kuchangia hoja kama hii ya Zitto Kutangaza Kugombea Urais kwa kuishamilisha na udini, ukabila au ukanda? Toka ameondoka Mwal. Nyerere (R.I.P) ameondoka na nguvu za Uongozi, tumebaki na waigizaji tu. Leo hii mwalimu angekuwepo watu wengi wangekuwa ndani kwa kauli hizi za kipuuzi. Zinatia kinyaa sana
 
M4C ya dar es salaam lema alilamba pesa yote na slaa kakikopa chadema pesa ya ruzuku mil 140 na akajengea nyumba pale tegeta kwa hio mpaka sasa chadema hawapeleki ruzuku mikoani huo sio ufisadi?

Hizo fitina tu. Ulisikia CDM wanalalamika wameibiwa? Hata walio makazini wanaruhusiwa kukopa? Kama amekopeshwa si anarurejesha? Huo ni utaratibu wao wa ndani!!! As of Lema mmesikia anatafutwa na polisi? Mtatafuta visingizio ila hamuiwezi tena CDM!!!!! Next!!
 
upo sahihi ndio maana nilisema huyu anajitaftia umaarufu wa bei rahisi.

Urais wa bei rahisi wanautaka mbowe na slaa tukiachana na ahadi hewa walizotoa kwa sherembi.
Hata kwenye msiba wa mbwana aliekufa igunga slaa alijigamba kwamba chadema itarudi kutoa rambi rambi watakazoendelea kukusanya.mpaka leo kimyaaaaa!)

Cheap popularity!
Slaa huyo huyo kaenda msiba wa mwangosi kamuahidi yule mjane
Sasa mtaniambia kama atatimiza ahadi hiyo.
Hii ndio cheap popularity!
 
ZITO sio mwanasiasa mzuri make ana mambo yake binafsi anayoyataka then ajue watanzania sio wajinga kumpa kura zito asahau kabisa hawezi pata kura zetu
 
Nae zitto kaamua kuweka wazi kwamba atakuwa rais wa tanzania kama slaa alivyo amua kuoa na kuacha upadri.
Slaa hafai hata kuwa kalani wa hospital ya kata mzee kachoka mbaya na mapenzi ya ukubwani ndo balaa tupu.
Hata kwenu SSM wana uhuru wa kuweka wazi kila anayetaka uongozi. Na kuteuliwa ni vigezo. Zitto wako hana vigezo kwa CDM, he is Bronze in CDM!!! Mchukueni, tunasubiria tu aache mwenyewe!! Akigombea kura zitakuwa zinamtesa sana!!! Hata ubunge 2010 aliponea margin!!! Amesoma alama za nyakati kuwa hatakiwi tena jimboni so to the Party!!! Mpeni Gamba avae!!! To dr. Slaa is the Moses to the Nation!!! anawanyima usingizi!! Next!!
 
Kwa walio wengi, Demokrasia bado ni tatizo. kwani mtu kutoa mawazo yake,kosa lake nini???????? Je! Hana haki ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya wananchi kuwa mkuu wa kaya. Kama kuna chama chenye mtizamo hasi juu ya hili, basi chama hicho hakijakomaa kidemokrasia, na hakifai kuingia madarakani. Mimi nilizaliwa kabla ya uhuru, na naamini kidemokrasia, sijatukanwa. sioni kosa hapo.
 
Gongo2 bado hujajibu kitu kabisa, kama utampima mtu kwa kuangalia wake alionao au anakula na nani basi hutampata mtu wa kuongoza hata huyo zito unemtetea
amemzalisha mtoto wa watu na hajamwoa. kwa kweli sipendi kujadili mambo ya kimbea fikiri kwa ukubwa kisha jibu hoja kupitia hiyo tujifunze kama huna hoja kaa kimya utaonekana una hekima. wala slaa hajamwaga damu labda uthibitishe

Slaa amemzalisha watoto wawili mama rose kamili na mwisho wa siku akamtelekeza na kutafuta dogodogo na kumbe huyo dogodogo ni mke wa mtu.je?akipata urais si ndo anaharibu ndoa za watu kama ubunge tu kaharibu ile mbaya vp urais.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom