Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
Mlipokuwa mnashadadia aondoke mlikuwa mnadhani ataacha siasa? Zitto ni jembe na mwaka huu lazima kamasi ziwashuke.She..nzi wakubwa nyie.Chama gani kimejaa udini,ukabila na ukanda?Hiv jana nimeichoma kabisa na kadi yenu.
Mkuu,

Hayo yangewezekana tu kama kungekuwa na nia ya zzk.....ambayo sina huakika alikuwa nayo. Mkakati wa kuua upinzani ni nguvu kutoka nje ya chadema...kwa vyovyote vile lazima msaliti angepatikana kwa gharama zozote zile....ninachojua nguvu ya wanyonge na damu za watanzania zilizomwagika kwa ajiri ya chama zitashinda.


Kinachotafutwa chadema isichukue dola, zzk amejitoa muanga kuwafanyia hiyo kazi kwa kuzipunguza kura kwa faida ya mafisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom