Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
Hivi wewe ni mke, kimada au shemeji wa hao wakina slaa na mbowe? au chadema yote inakusugua? mbona unashindwa kusimamia ukweli na kuishia kushabikia uozo?

Kutembea tembea na kupoteza muda na rasilimali, kufanya hiyo M4C ni unafikiri ni jambo la maana sana? Eti Arumeru mbona hajaonekana, wewe ulikuwepo? ulifanya kampeni wewe? unadhani ni vyema chama na uongozi wake wote waende kufanya kampeni kwenye uchaguzi mdogo? sio ukichaa huo?

Kumbusha na ile ya kukataa kutoka bungeni katika hotuba ya rais ya ufunguzi wa bunge la kumi, mbona hiyo umeiacha? unadhani ni vyema kususia bunge na kutoka ukumbini ni suluhisho la matatizo ya wananchi? unajua nini kilikuwa kwenye hotuba? Zitto ni kijana mwenye subira, nidhamu na mwadilifu na ndio maana anapendwa na vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Sio hao makeleng'ende wengine wachumia matumbo na masabuli yao, mimi ni mwana-CCM lakini nazikubari siasa anazofanya huyu kijana Zitto, zinastahili kuigwa na wanasiasa wa upinzani kwa lengo la kukuza na kuikomaza demokrasia.

Acha ushabiki wa siasa wewe, maana unaashilia huijui siasa vizuri.

Katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Tafakari.

Umekaa Udini Udini tu sioni cha maana ulichoandika hapa. Shame on you.
 
Zitto wa Zuberi Kabwe kama unaacha siasa za ubunge ili ukawe mpiga debe wa Rais kupitia CDM unakaribishwa!!! Kama unataka kugombea urais kupitia CDM nakushauri ujiunge na SSM unayoitumikia ili ukagombee kule URAIS. Kwa CDM wewe ni msaliti until you prove otherwise. Imani imepotea.
 
kwahiyo unataka kusema slaa ndo aliipigia kura ccm.

wewe kwa akili zako aliyewapa umeya ccm ninani kama sio dr.slaaa?????acha kuwa na uelewa mdogo kiasi hicho,,mulize dr.slaa kilichompeleka mwanza siku ya 5 leo nini???
Njama zake za kuhangaika na vijana zimemponza
 
Lakn kwenye wall yake ya facebook amesema atagombea urais au atakua mpiga debe wa atakaesimamishwa kugombea urais kupitia chadema.. So nadhan hapo point yake kubwa ni kuto gombea ubunge anymore.... Twenden kwenye wall yake fb tutamuelewa vizur mana wengi wameconclude kuwa ataka urais ila yeye katoa option mbili kuwa kama co kugombea bas kumpigia debe mgombea..

Zitto ameshakuwa mpiga debe wa mbowe,ameshakuwa mpiga debe wa slaa 2010.
Inatosha sasa ni zamu yake nao wawe wapiga debe wake.
Hiyo ndio demikrasia.
Vinginevyo ataishia kuwa mpiga debe maisha yake yote.
Haikubaliki,zitti kuwa mpiga debe.
 
Hivi wewe ni mke, kimada au shemeji wa hao wakina slaa na mbowe? au chadema yote inakusugua? mbona unashindwa kusimamia ukweli na kuishia kushabikia uozo?

Kutembea tembea na kupoteza muda na rasilimali, kufanya hiyo M4C ni unafikiri ni jambo la maana sana? Eti Arumeru mbona hajaonekana, wewe ulikuwepo? ulifanya kampeni wewe? unadhani ni vyema chama na uongozi wake wote waende kufanya kampeni kwenye uchaguzi mdogo? sio ukichaa huo?

Kumbusha na ile ya kukataa kutoka bungeni katika hotuba ya rais ya ufunguzi wa bunge la kumi, mbona hiyo umeiacha? unadhani ni vyema kususia bunge na kutoka ukumbini ni suluhisho la matatizo ya wananchi? unajua nini kilikuwa kwenye hotuba? Zitto ni kijana mwenye subira, nidhamu na mwadilifu na ndio maana anapendwa na vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Sio hao makeleng'ende wengine wachumia matumbo na masabuli yao, mimi ni mwana-CCM lakini nazikubari siasa anazofanya huyu kijana Zitto, zinastahili kuigwa na wanasiasa wa upinzani kwa lengo la kukuza na kuikomaza demokrasia.

Acha ushabiki wa siasa wewe, maana unaashilia huijui siasa vizuri.

Katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Tafakari.

Iwe mke, kimada au vyovyote hiyo single ya kuisambaratisha CDM haitofanikiwa. mUnatwanga maji kwenye kinu. MAlipo yenu ni M4C inayokuja soon. Zoezi la sumu na uchawi limegundulika na sasa mnakuja na single ya kibaraka wenu.
 
wewe kwa akili zako aliyewapa umeya ccm ninani kama sio dr.slaaa?????acha kuwa na uelewa mdogo kiasi hicho,,mulize dr.slaa kilichompeleka mwanza siku ya 5 leo nini???
Njama zake za kuhangaika na vijana zimemponza

Chezea vijana wewe.vijana wana zaidi ya miaka 40 yakufanya siasa,yeye hata mitano ni shughuli.
 
zitto wa zuberi kabwe kama unaacha siasa za ubunge ili ukawe mpiga debe wa rais kupitia cdm unakaribishwa!!! Kama unataka kugombea urais kupitia cdm nakushauri ujiunge na ssm unayoitumikia ili ukagombee kule urais. Kwa cdm wewe ni msaliti until you prove otherwise. Imani imepotea.

msaliti ni huyu hapa dr.slaaa

>amewasaliti waroma aliowatumikia kwa miaka 20.....akakimbia upadri
>amewasaliti ccm aliowatumikia kwa miaka 45....amekimbilia chadema
>amemsaliti mke wake wa ndoa rose kamili..amekimbilia kwa josphine na ametelekeza familia

sasa unategemea huyu atakuwa kiongozi bora>>>>>>>au unataka uwe tomaso

zitto kakusaliti kwa lipi????

Usipende kulia lia tu..umekua sasa jikaze..

The next president zitto zuberi kabwe
 
Nilikuwa namsikiliza kiongozi mmoja wa upinzani Zimbabwe (Welshman Ncube, Secretary General MDC msikilize hapa video hapa) kwenye BBC World Service wiki hii. Hii ni kabla tu ya Mugabe kupendekeza uchaguzi mpya March 2013.

BBC wamemuuliza maswali mengi sana, mwishowe, wakamuuliza, kama Morgan Tsvangirai hatagombea urais, wewe utagombea kwa kutumia tiketi ya upinzani?

Jamaa akajibu chama chetu kina utaratibu wa kutafuta mgombea ndani ya chama na tutafuata utaratibu. Kimsingi hawezi kuanzisha mbio za urais zilizo nje ya utaratibu wa chama kwa sababu zinaweza kuleta mgawanyiko usio na lazima.

There is an argument to be made for that case just as there is an argument to be made that true democracy should allow for a more tranparent and organic process kama anavyotaka kufanya Zitto.

At this point swali la kizushi la kuku na yai linaibuka.

Kati ya Tanzania kuwa na kiongozi mzuri (rais) na institutions nzuri (executive, legislature,judiciary, press etc) kipi ni muhimu?

Kwa sababu wanaotaka a top down approach wanaweza ku argue kwamba the best way to jumpstart the integrity, efficiency and performance of our institutions is to have a benevolent president, some would even advocate a benevolent dictator. But without institutions, how do you tell that he who appears benevolent before office would maintain that stance? Power corrupts, absolute power corrupts absolutely.

Zitto amefanya nini ku reform institutions zetu kama mbunge kiasi cha kusema ana warrant ya kutaka urais? Hata zoezi lake la kumuwajibisha Waziri Mkuu tu limenywea, akishindwa kupambana na the CCM machinery tumtegemee vipi kwamba anaweza kupigania interests za Tanzania huko kwenye ma geopolitics ya UN/IMF/WB/Davos etc?

Mkuu nakuunga mkono kwa hoja yako ni nzito kwelikweli. Hayo majibu ya kiongozi wa zimbabwe yanathibitisha anadhamira ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake
 
So far so good we still living today
But we don't know what tomorrow
brings
In this crazy world
People are dying like flies every day
You read about it in the news
But you don't believe it
You'll only know about it
When the man in the long black coat
Knocks on your door
'Cause you're his next victim
As you are living in this
Chorus:
Living in, living in this crazy world (x4)
Leaders starting wars anytime they want
Some for their rights,
Some for fun and their own glory, ei-he-he, letting people die, for the wrongs that they do
Oh it's painful come on now little boy
Say your prayers before you sleep
Little boy went down on his knees
And he said:
"Oh Lord Now I lay me down to sleep
I pray the Lord my soul to keep
And if I die before I wake
I pray that Lord my soul to take."
'Cause he's living in this crazy world
Oh Lord...................
 
Hivi wewe ni mke, kimada au shemeji wa hao wakina slaa na mbowe? au chadema yote inakusugua? mbona unashindwa kusimamia ukweli na kuishia kushabikia uozo?

Kutembea tembea na kupoteza muda na rasilimali, kufanya hiyo M4C ni unafikiri ni jambo la maana sana? Eti Arumeru mbona hajaonekana, wewe ulikuwepo? ulifanya kampeni wewe? unadhani ni vyema chama na uongozi wake wote waende kufanya kampeni kwenye uchaguzi mdogo? sio ukichaa huo?

Kumbusha na ile ya kukataa kutoka bungeni katika hotuba ya rais ya ufunguzi wa bunge la kumi, mbona hiyo umeiacha? unadhani ni vyema kususia bunge na kutoka ukumbini ni suluhisho la matatizo ya wananchi? unajua nini kilikuwa kwenye hotuba? Zitto ni kijana mwenye subira, nidhamu na mwadilifu na ndio maana anapendwa na vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Sio hao makeleng'ende wengine wachumia matumbo na masabuli yao, mimi ni mwana-CCM lakini nazikubari siasa anazofanya huyu kijana Zitto, zinastahili kuigwa na wanasiasa wa upinzani kwa lengo la kukuza na kuikomaza demokrasia.

Acha ushabiki wa siasa wewe, maana unaashilia huijui siasa vizuri.

Katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Tafakari.

Mkuu hasira na jaziba hazisaidii chochote kwenye mijadala hapo ndipo wewe utaonekana hujui siasa na si yule uliyemjibu. Unataka kutumia nguvu kumshawishi mtu badala ya hoja. Anachozungumzia Doto ni nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya CDM na nini athari itakayojitokeza kama ataondoshwa kwenye chama. Sasa ukianza kukurupuka, kuporomosha matusi na kujaa mapovu mdomoni siyo ustaarabu wala afya kwenye mijadala.

Nadhani hoja hapa ni moja tu Zitto kuutaka urais. Ni wazi ana haki zote za kutangaza kugombea Urais na sioni tatizo lolote hadi hapo isipokuwa tatizo linaanza pale Katiba iliyopo sasa inapomnyima fursa hiyo kwa kigezo cha umri maana hadi kufikia mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto atakuwa na miaka 39 tu yaani pungufu ya miaka 40 inayohitajika. Sasa maswali ya kujiuliza ni Je inawezekanaje mtu ambaye anajua kabisa hakidhi vigezo vya kikatiba vya kugombea urais kila mara anajitokeza kutangaza kugombea urais mwaka huo wa 2015? Atatangazaje kutaka kugombea urais wakati yuko nje ya vigezo?????

Anaweza kusema zoezi linaloendelea sasa la uandikaji wa Katiba mpya litarekebisha kipengele hicho cha umri, ni sawa lakini kuna maswali ya kujiuliza pia, Zitto anajuaje kuwa mabadiliko hayo ya kipengele cha umri yatampa fursa ya kugombea? What if wananchi wengi watataka umri wa kugombea urais uongezwe zaidi na kuwa miaka 45? Maana hili halina guarantee wananchi ndiyo wenye maamuzi.

Sasa mtu yeyote anapofikiria mambo yote hayo anashindwa kuona mantiki ya Zitto kuimba urais kila wakati kuelekea mwaka 2015 unless ana hidden agenda anayoifahamu yeye binafsi.
 
msaliti ni huyu hapa dr.slaaa

>amewasaliti waroma aliowatumikia kwa miaka 20.....akakimbia upadri
>amewasaliti ccm aliowatumikia kwa miaka 45....amekimbilia chadema
>amemsaliti mke wake wa ndoa rose kamili..amekimbilia kwa josphine na ametelekeza familia

sasa unategemea huyu atakuwa kiongozi bora>>>>>>>au unataka uwe tomaso

zitto kakusaliti kwa lipi????

Usipende kulia lia tu..umekua sasa jikaze..

The next president zitto zuberi kabwe

Hizi ni fikira finyu wanaowaza kikubwa hawawezi kuongea hayo bali wataleta hoja za kujenga, think wide a bit!!
 
Ukomavu wa kisiasa kwa CDM utapimwa watakapoweza kuli handle hili suala la mgombea wa Uraisi. Kama CDM ni wamoja watamsapoti yeyote anayekubalika na wanachama(majority ) na sio manority .
CDM iabidi wawe na taratibu zilizo wazi namna ya kumpata mgombea wa Uraisi Vinginevyo ZZK yupo right kugombea kwani hakuna mwenye haki miliki na CDM kama tuanavyo kutokuwa na haki miliki kwa MAGAMBA KATIKA NCHI HII.
I SUPPORT ANY BODY WITH MAJORITY FOR PROSPERITY OF CDM
 
Iwe mke, kimada au vyovyote hiyo single ya kuisambaratisha CDM haitofanikiwa. mUnatwanga maji kwenye kinu. MAlipo yenu ni M4C inayokuja soon. Zoezi la sumu na uchawi limegundulika na sasa mnakuja na single ya kibaraka wenu.

Jikaze mtoto wa kiume wewe!chloroquine chungu lakini inaponyesha.
Zitto rais wa tanzania tuongoze baba.
 
Haya sasa, hayawi hayawi sasa yamekuwa amejitahidi kukana na sasa kaamua kuwaridhisha wanaomtuma, huyu kijana alianza kuwafikirisha watu muda mrefu sana kwa tabia yake ya umimi na kujiona kwamba hakuna kama yeye, hatukatai kwamba hajavunja sheria yoyote kutamka kuwa atagombea urais lakini kwanini ameanzia kwenye media? watajisikiaje viongozi wake wanasikia habari hizi kupitia magazeti na radio?

Ulitaka akatangazie akiwa kwenye vilabu vya mbege pale machame au kwenye danguro la mbowe pale billcanas.
 
Nani aliyekutuma amekupa sh ngapi? Njaa kitu kina ya sana hapa Duniani

mm sio DEUS MALLYA aliyetumiwa na mbowe kwenda kumuua chacha wangwe
MM sio Heche anayetumia yeye na mdogo wake kumfanyia kazi za ndani Freema Mbowe
MM sio Wewe unayetumiaka na Slaa kupeleleza umbea umbea

MM ni freeman najitambua,natambua uozo wote wa CHADEMA.
VIVA ZITTO
 
Mkuu hasira na jaziba hazisaidii chochote kwenye mijadala hapo ndipo wewe utaonekana hujui siasa na si yule uliyemjibu. Unataka kutumia nguvu kumshawishi mtu badala ya hoja. Anachozungumzia Doto ni nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya CDM na nini athari itakayojitokeza kama ataondoshwa kwenye chama. Sasa ukianza kukurupuka, kuporomosha matusi na kujaa mapovu mdomoni siyo ustaarabu wala afya kwenye mijadala.

Nadhani hoja hapa ni moja tu Zitto kuutaka urais. Ni wazi ana haki zote za kutangaza kugombea Urais na sioni tatizo lolote hadi hapo isipokuwa tatizo linaanza pale Katiba iliyopo sasa inapomnyima fursa hiyo kwa kigezo cha umri maana hadi kufikia mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto atakuwa na miaka 39 tu yaani pungufu ya miaka 40 inayohitajika. Sasa maswali ya kujiuliza ni Je inawezekanaje mtu ambaye anajua kabisa hakidhi vigezo vya kikatiba vya kugombea urais kila mara anajitokeza kutangaza kugombea urais mwaka huo wa 2015? Atatangazaje kutaka kugombea urais wakati yuko nje ya vigezo?????

Anaweza kusema zoezi linaloendelea sasa la uandikaji wa Katiba mpya litarekebisha kipengele hicho cha umri, ni sawa lakini kuna maswali ya kujiuliza pia, Zitto anajuaje kuwa mabadiliko hayo ya kipengele cha umri yatampa fursa ya kugombea? What if wananchi wengi watataka umri wa kugombea urais uongezwe zaidi na kuwa miaka 45? Maana hili halina guarantee wananchi ndiyo wenye maamuzi.

Sasa mtu yeyote anapofikiria mambo yote hayo anashindwa kuona mantiki ya Zitto kuimba urais kila wakati kuelekea mwaka 2015 unless ana hidden agenda anayoifahamu yeye binafsi.

Umejibu vizuri mkuu kuna watu wanakurupuka na kujibu hoja ya mtu bila kutafakari mimi nawashauri kama kufikiri kunamnyonya nguvu kubwa asome halafu
anyamaze wenye uwezo wa kufikiri wajibu
 
kwanza amewatukana wazee wote Tanzania huku ni kukosa busara na hana sifa ya Uongozi kwani ni mbaguzi. Wapo Wazee waliozaliwa kabla ya uhuru na wanailetea Tanzania maendeleo na wapo wapuuzi waliozaliwa baada ya uhuru ni wapuuzi wa kutisha . Zitto hana busara kwa hili
Naam Zito tafadhali hili la kuwasema vibaya baba zako umekosea sana na ni kauli itakayokwamisha malengo yako uliyonayo, kali hiyo imekuingiza cho cha kike, kwa kifupi huna busara na adabu kwako ni ziro.
 
Kama haujamuandika "out of context" Zitto anapaswa atuombe radhi tuliozaliwa kabla ya Uhuru, awaombe radhi na wazazi wake ambao bila wao, nna uhakika wote walizaliwa kabla ya Uhuru, asingekuwepo hapo alipo.
Kwani kaongopa? Mmeshindwa hata kutujengea zahanati kila kijiji
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom