Mzee Msemakweli
Senior Member
- Oct 12, 2010
- 159
- 34
Hivi wewe ni mke, kimada au shemeji wa hao wakina slaa na mbowe? au chadema yote inakusugua? mbona unashindwa kusimamia ukweli na kuishia kushabikia uozo?
Kutembea tembea na kupoteza muda na rasilimali, kufanya hiyo M4C ni unafikiri ni jambo la maana sana? Eti Arumeru mbona hajaonekana, wewe ulikuwepo? ulifanya kampeni wewe? unadhani ni vyema chama na uongozi wake wote waende kufanya kampeni kwenye uchaguzi mdogo? sio ukichaa huo?
Kumbusha na ile ya kukataa kutoka bungeni katika hotuba ya rais ya ufunguzi wa bunge la kumi, mbona hiyo umeiacha? unadhani ni vyema kususia bunge na kutoka ukumbini ni suluhisho la matatizo ya wananchi? unajua nini kilikuwa kwenye hotuba? Zitto ni kijana mwenye subira, nidhamu na mwadilifu na ndio maana anapendwa na vyama vyote vya siasa hapa nchini.
Sio hao makeleng'ende wengine wachumia matumbo na masabuli yao, mimi ni mwana-CCM lakini nazikubari siasa anazofanya huyu kijana Zitto, zinastahili kuigwa na wanasiasa wa upinzani kwa lengo la kukuza na kuikomaza demokrasia.
Acha ushabiki wa siasa wewe, maana unaashilia huijui siasa vizuri.
Katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Tafakari.
Umekaa Udini Udini tu sioni cha maana ulichoandika hapa. Shame on you.