Mmhh ngoja tuone! kwani wakati unakula wakati.
Angeweka na time frame....sio kutuambia atawataja alafu akaja kuwataja 2020......aeleze ikifikia lini Chai Chapati na Maharage awajawataja....then wao wanataja....huo ndo uwajibikaji
Akiwasilisha kambi ya upinzani katika bajeti ya wizara ya fedha Zito Zuberi Kabwe amesema, katika taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuna kiongozi wa juu wa serikali iliyopita akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali walihongwa. Inasemekana waliohongwa na baadhi ya makampuni ya uchimbaji wa mafuta na kwenda kuzificha fedha hizo Uswiss.
Hivyo kambi ya upinzani inaitaka serikali iwataje viongozi hao kabla CHADEMA haijawataja hadharani.
Me nashangaa sana,wachagga wametapakaa TZ yote,watumishi wa serekali na wafanyabiashara,lkn mazungumzo yao ya uchademachadema hata hao watumishi,ajabu kilimanjaro wabunge wengi ni ccm,ni kwanini!Kambi ya wachaga ni ile ya mzee Mtei na mkwewe.
Me nashangaa sana,wachagga wametapakaa TZ yote,watumishi wa serekali na wafanyabiashara,lkn mazungumzo yao ya uchademachadema hata hao watumishi,ajabu kilimanjaro wabunge wengi ni ccm,ni kwanini!
Akiwasilisha kambi ya upinzani katika bajeti ya wizara ya fedha Zito Zuberi Kabwe amesema, katika taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuna kiongozi wa juu wa serikali iliyopita akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali walihongwa. Inasemekana waliohongwa na baadhi ya makampuni ya uchimbaji wa mafuta na kwenda kuzificha fedha hizo Uswiss.
Hivyo kambi ya upinzani inaitaka serikali iwataje viongozi hao kabla CHADEMA haijawataja hadharani.
James Mbatia anaFloor kwakusema kua majengo yooote makubwa yalioko jijini Dar es salaam hayalipi kodi na anauhakika na kama serikali inataka msaada wakujua ni jengo lipi yuko tayari kuisaidia!
Mwaka huu ni lazima tumjue mkweli nani? Cdm au ccm?
Hivi hii sentence inatofauti na alichikisema Nape Juzi? Maana watu walimshupalia kama anajua ataje wanaotuma fedha CDM leo naona Zitto anarudia kile kile.Hivyo kambi ya upinzani inaitaka serikali iwataje viongozi hao kabla CHADEMA haijawataja hadharani.
Mh. Zitto wataje tuwafahamu.
Mwaka huu ni lazima tumjue mkweli nani? Cdm au ccm?
Kashtua akipewa 10% anatulia kama kawaida yake