Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

Kichwa chako hakikubali Zitto, labda Slaa, Mnyika, Mbowe, lakini Zitto, wewe hapana. Unasahau kwamba hii ni ya CDM, kambi rasmi ya upinzani bungeni. Na imewasilishwa na Zitto but Mbowe knows kilichopo and everbody. Acha uzumbukuku, kiazi wewe.
Hii imekaa kama escape route ya ile issue ya kamati ya nishati na madini hivi. Ukinitaja na mimi nakutaja! Kwa wale mlioshiriki ngumi za kitoto: Sema suu!
 
kweli zitto ni mzalendo!and siku isiyombali na leo,naamini atawataja.

long live CDM.UKOMBOZI WA UKWELI NA UHAKIKA.
 
Acha ukabile we kuwa na fikra pevu mimi ni muhehe pyuwa kutoka Iringa so unaposema CHADEMA ni ya wachaga unakuwa na mawazo ya magamba.

Wewe MTunza Amani kuwa Mtunza amani basi usiwe mwehu!!

HAujaona nimeweka QUESTION MARK kuhusiana na huyo aliyesema CHADEMA ya Wachagga? Kabla ya kujibu soma vizuri!!

Mimi nimemuuliza kwa mshangao then nikamwambia akili yake imeoza kwa kusema CHADEMA ya Wachagga!

Soma taratibu na ujibu kwa akili!
 
safari hii Zitto yupo kichama zaidi kuliko binafsi, juzi tumemsikia akimpinga Nappe na kukitetea chama kwa nguvu zote, leo anasema chadema kitataja badala ya nitataja.... nimeipenda sana hiyo.
unafiki unamtesa hakawii kuanza tena kivyake, kwa sasa ana soo ndio maana kaanza kurudi kwenye msitari... mchukulie fifty fifty yaan hamsa hamsa...
 
Hivi hii sentence inatofauti na alichikisema Nape Juzi? Maana watu walimshupalia kama anajua ataje wanaotuma fedha CDM leo naona Zitto anarudia kile kile.[/SIZE]

Tofauti ya Nape na ZITTO ni kwamba Nape anauwezo wa kuagiza hao watu wakamatwe lakini ZITTO hana huo uwezo zile mbwembwe zake za kujifanya anaconnections serikalini zisikufumbe macho mkuu.
 
Tofauti ya Nape na Ztto ni kwamba Nape anauwezo wa kuagiza hao watu wakamatwe lakini Zitto hana huo uwezo.Zile mbwembwe zake za kujifanya anaconnections serikalini zisikufumbe macho mkuu.

Mkuu mi nilikua nipo kwenye sentence tu, ambayo watu humu JF huwa wanapinga sana wakiisoma "nawajua ntawataja" kwa nini watu wanapenda kutishia kama unajua kitu just speak it out hakuna haja ya kutishia. Nikiangalia Nape alitishia na Zitto nae anatishia. Thats my point mkuu.
 
Mkuu mi nilikua nipo kwenye sentence tu, ambayo watu humu JF huwa wanapinga sana wakiisoma "nawajua ntawataja" kwa nini watu wanapenda kutishia kama unajua kitu just speak it out hakuna haja ya kutishia. Nikiangalia Nape alitishia na Zitto nae anatishia. Thats my point mkuu!

Angalia na Implications za kutokutaja in the first place mkuu. Kwa mfano, kama tunavyokubalina kwamba Nape hatawataja sababu hawapo ni Muongo na Mnafiki, Lakini uhakika kwamba ZITTO atawataja upo kwa kutumia japo ushahidi ambao bado ni mbichi kabisa, angalia maelezo ya Tundu Lissu kwenye kamati ya nini sijui ya Bi Kiroboto, Ametaja Majaji dhaifu kwa majina yao kamili bila chenga lakini alipokuwa akiwasilisha hoja ya kambi binafsi hakuwataja,kwa busara kidogo tu alisema tu, wapo, yaani kama vile alikuwa anaogopa kumfunua nguo mtu mzima hadharani vile, Mavichwa maji walipopiga kelele taja taja taja, kamwaga Mavi bwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ngoja tuone kama tutasikia ZITTO anaambiwa taja taja taja. ha ha ha ha
 
waJF
TUKUMBUKE KUWA ZITO HAKUSEMA ATAWATAJA MAFISADI WA UTOROSHAJI WA FEDHA.AMESEMA ATAWATAJA WENYE PESA KATIKA AKAUNTI ZA USWIZI
 
Upuuzi mwingine wa Zitto and whoever prepared the speech.......hivi kweli unategemea serikali ije iseme......"Wafuatao ndio walihusishwa na rushwa"!!.........kufuatia tamko lako/lenu?....siasa zingine ni za Kijinga kabisa............
 
Kichwa chako hakikubali Zitto, labda Slaa, Mnyika, Mbowe, lakini Zitto, wewe hapana. Unasahau kwamba hii ni ya CDM, kambi rasmi ya upinzani bungeni. Na imewasilishwa na Zitto but Mbowe knows kilichopo and everbody. Acha uzumbukuku, kiazi wewe.

Jifunze kusoma zaidi ya kile kilichoandikwa. Sii kila unachokisoma kina maana hiyo unayoifikiria. Ukiisha lijua hilo, rudi tuje tuzungumzie uzumbukuku na ukiazi wako. Na mwisho, kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Kinyume na hapa piga kimya!
 
Aina ya viongozi vijana ninaowapenda ni pamoja na ZZK.He is my role model.Wakati wa miaka ya `60 vingozi wengi wa Afrika walikuwa umri wa Mh Zito.Maisha ni mafupi mh Zito,wakati hautusubiri,tuache maneno mengi,naomba uwataje ndani ya wiki moja kama CCM hawatawataja.Tunataka maisha bora sasa kwa wote.
 
Utafiti nilioufanya unaonyesha Zito hata akifanya zuri litapodwa na wala mbege ambao wana nguvu sana ndani ya chama,ushauri wa bure agombee ubunge,wenye nguvu wapishe,unaweza ukaukwa uwaziri mkuu we bado yanke,la sivyo utaitwa majina ya kila aina,mwisho watakupiga chini.
 
Sasa huyu ndio Zitto mwenyewe, yule wa uraisi ni zimwi. Zitto naye mjua ni wa kuibua hoja nzito na zinazoleta mijadala ya kueleweka kwa wananchi.
 
Kwako zito ongeza na hii kwa waziri wa fedha amuulize waziri wa nishati ni nguzo ngapi za umeme walizo uziwa watz walizidishiwa thamani na chenchi yao itarudi lini maana haina tofauti na ya rada
 
Back
Top Bottom