Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

kwani kilichomkosanisha na hao wakuu si kuutaga uenyekiti, au kugombea urais?? we unadhani dr. slaa ataacha kipaji chake cha kugombea kwa zito?? thubutu?? au mbowe asiwe mwenyekiti?? nani kasema. Kama kweli mnania zito arudi mpeni nafasi ya kuwa mwenyekiti japo kwa wiki moja tu.

Hilo yai liko wapi?
 
Naomba kuweka wazi...

Hakuna aliye juu ya chama.Kuna watu wanatafuta kutaka kuwa maarufu kuliko chama.

Zitto akitaka kurudi Chadema anapaswa kuomba radhi ajutie makosa yake na huu ndiyo msimamo rasmi.

Katiba ya chama iko wazi.Kukipeleka chama mahakamani ni kujifukuzisha mwenyewe ndani ya chama.

Kwani kosa lake ni nini??
 
Mahakama inaweza kutoa hukumu kwamba fulani kafukuzwa chama bila haki.

CHADEMA haiko juu ya mahakama.

Au unafikiri CHADEMA iko juu ya mahakama?

Hayo ya kuchagua viongozi na kupeana ubunge mtajijua wenyewe.

Kama mfuasi wa chama kinachojinadi kuwa cha demokrasia na maendeleo unatakiwa kujua the basic tenets of the rule of law.

Sidhani kama hatua hiyo itamsadia Mhe.Mbunge-na itakuwa mlolongo wa Kesi kwa maana kilichotumia kufikia maamuzi ni kwa kutumia Katiba ya Chama.Kwa maana hiyo Mahakama inabidi iende mbele kuichambua na kuifuta moja ya vifungu hivyo ndani ya Katiba ya CDM.

Ila katika hali ya kawaida usitegemee ushirikiano ndani ya Chama na mhusika/mjumbe/Mwanachama wa Mahakama na siyo wa hiari.
 
Nazani ni busara tu viongozi wa CHADEMA wakae na ZITTO na kuyamaliza ili harakati ziendelee. Unajua ktk hali ilivyo kwa sasa ni sawa na mpira dk 85 bado mabao ni bilabila na Timu inashambulia halafu unamtoa Sanchez au Messi au Ronaldo nazani litakuwa ni kosa la kiufundi sn.

Kimsingi CDM wayamalize kama NCCR walivyoyamaliza kwa KAFULILA na maisha yakaendelea.

Halafu na wewe zitto kama mkiyamaliza sio ndo tena unalianzisha move la kutaka uenyeketi, we tulia kama kafulila uenyekiti utakuja tu wkt wako ukifika kwani hilo halina mjadala
 
Unaweza kumvua tabia Zito kuwa ndie alikuwa anavujisha siri za cdm. Maana km umefuatilia wakati ya taarifa ya PAC alikuwa anatoa taarifa ya maazimio kupitia tweeter yake hata kabla ya kusomwa. Hawezi uongozi kwani hawezi kutunza kitu moyoni. Muda wote anatafuta popularity km bila yeye isingewezekana.

Na watu hawajui ku-analyse mambo. Sasa imekuwa zito kana kwamba hakuna michango ya watu. Tuseme ukweli. Hivi isingekuwa wabunge wa upinzani, ccm wasinge mshinda zzk kwa hoja. Maana tuache unafiki, ripoti ya PAC ni dhaifu.
 
Kati ya CHADEMA na CCM ni chama kipi kilichopoteza wanachama watiifu wengi? ni vema ungeizungumzia CCM kwanza kuwa kuna shida kwani wengi unaowaona maarufu sasa katika vyama vya upinzani walikuwa CCM.
Mimi nadhani CCM ilitakiwa kupoteza wafuasi kwa kuwa ndiyo ulikuwa mwanzo wa vyama vingi, sasa wewe unadhani wasomi wa kuunda vyama vya upinzani wangetoka wapi kama siyo CCM iliyokuwa na watu walioelimika?
 
Leo imeripotiwa kuwa Zitto Kabwe amesema kuwa ana sharti moja ili kurudi CHADEMA. Sharti lenyewe ni kuambiwa kosa lake ili ikibidi aombe msamaha hadharani. Habari hii na zinazofanana nayo ni upotofu mtupu.

Mosi,Zitto bado ni mwanachama wa CHADEMA. Hajawahi kuvuliwa au kufukuzwa uanachama wake. Alichopokwa ni uongozi ndani ya Chama chake na Bungeni,yaani Waziri Kivuli na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani. Mtu ambaye yuko CHADEMA anawezaje kutaka kurudi CHADEMA?

Pili,uongozi wa CHADEMA haujawahi kuutaarifu umma juu ya kumrejesha Zitto kundini. Angeombwa ndipo angekuwa na uwezo na nguvu ya kutoa masharti. Jambo hilo la kuombwa au kubembelezwa halipo.

Kwanini kuna upotofu kama huu? Nani mhusika? Kwa faida ya nani?
 
Sidhani kama hatua hiyo itamsadia Mhe.Mbunge-na itakuwa mlolongo wa Kesi kwa maana kilichotumia kufikia maamuzi ni kwa kutumia Katiba ya Chama.Kwa maana hiyo Mahakama inabidi iende mbele kuichambua na kuifuta moja ya vifungu hivyo ndani ya Katiba ya CDM.

Ila katika hali ya kawaida usitegemee ushirikiano ndani ya Chama na mhusika/mjumbe/Mwanachama wa Mahakama na siyo wa hiari.

That is obvious, and beyond the scope of my point.
 
Nazani ni busara tu viongozi wa CHADEMA wakae na ZITTO na kuyamaliza ili harakati ziendelee. Unajua ktk hali ilivyo kwa sasa ni sawa na mpira dk 85 bado mabao ni bilabila na Timu inashambulia halafu unamtoa Sanchez au Messi au Ronaldo nazani litakuwa ni kosa la kiufundi sn.

Kimsingi CDM wayamalize kama NCCR walivyoyamaliza kwa KAFULILA na maisha yakaendelea.

Halafu na wewe zitto kama mkiyamaliza sio ndo tena unalianzisha move la kutaka uenyeketi, we tulia kama kafulila uenyekiti utakuja tu wkt wako ukifika kwani hilo halina mjadala
Hapo kwenye red umenenichekesha sana! inaonekana unamjua sana Zitto mkuu.
 
Leo imeripotiwa kuwa Zitto Kabwe amesema kuwa ana sharti moja ili kurudi CHADEMA. Sharti lenyewe ni kuambiwa kosa lake ili ikibidi aombe msamaha hadharani. Habari hii na zinazofanana nayo ni upotofu mtupu.

Mosi,Zitto bado ni mwanachama wa CHADEMA. Hajawahi kuvuliwa au kufukuzwa uanachama wake. Alichopokwa ni uongozi ndani ya Chama chake na Bungeni,yaani Waziri Kivuli na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani. Mtu ambaye yuko CHADEMA anawezaje kutaka kurudi CHADEMA?

Pili,uongozi wa CHADEMA haujawahi kuutaarifu umma juu ya kumrejesha Zitto kundini. Angeombwa ndipo angekuwa na uwezo na nguvu ya kutoa masharti. Jambo hilo la kuombwa au kubembelezwa halipo.

Kwanini kuna upotofu kama huu? Nani mhusika? Kwa faida ya nani?

Mkuu mbona kama na wewe unajichanganya, unasema hajawai kufukuzwa wakati huo huo unasema uongozi haujawai kuutaarifu umma juu ya kumrejesha kundini.
 
Watu tuwe serious Zitto anaweza wekea masharti CHADEMA?

Anatapatapa tu.Nyota yake ya kisiasa imeshaisha.Ni politically frustrated.

Uchaguzi mwakani hajui ashike tawi la chama kipi kugombea mwakani.Kila akiangalia vyama vingine vinavyoonekana imara vimeshaungana kuunda UKAWA.Hivyo akitaka kugombea chama chochote lazima apate approval ya UKAWA ambayo anajua kuipata si rahisi.

Hapo ndipo jasho linamtoka kuwa aweza pigwa chini na vyama vyote vinavyounda UKAWA akashindwa kugombea ubunge ndio anajifanya ohhhh nataka kurudi kwa masharti!!!!!!!!!

Hongera sana naona unaifanya vizuri sana kazi yako ya u-agent. Lakini kaa ukijua Tanzania bila upinzani imara ni shamba la bibi
 
Mbunge wa mahakama ..si ndio munavosemaga humu ei day ..

Wabunge wote ni wa mahakama.

Wanapitishwa na Tume ya Uchaguzi inayoongozwa kimahakama.

Zitto is as flawed as they come, but that doesn't mean he is to be denied his basic constitutional rights.

Kama hamkutaka aende mahakamani mngesikilizana naye muelewane huko huko chamani.

Right now wengine tukiangalia tunaona Zitto hamnazo na the rest of CHADEMA nao hamnazo.
 
Mahakama inaweza kutoa hukumu kwamba fulani kafukuzwa chama bila haki.

CHADEMA haiko juu ya mahakama.

Au unafikiri CHADEMA iko juu ya mahakama?

Hayo ya kuchagua viongozi na kupeana ubunge mtajijua wenyewe.

Kama mfuasi wa chama kinachojinadi kuwa cha demokrasia na maendeleo unatakiwa kujua the basic tenets of the rule of law.

Sikatai rule of law...

Lakini fahamu chama kina taratibu zake.Unaweza kwenda mahakamani ukarudishiwa uanachama wako.Kesho yake tukaitisha tena Kamati Kuu tukakufukuza uanachama kwa kosa la kupeleka maswala ya chama nje ya ngazi husika.

Utakimbilia tena mahakamani na itakuwa the same way...

What next???
 
Mimi nadhani CCM ilitakiwa kupoteza wafuasi kwa kuwa ndiyo ulikuwa mwanzo wa vyama vingi, sasa wewe unadhani wasomi wa kuunda vyama vya upinzani wangetoka wapi kama siyo CCM iliyokuwa na watu walioelimika?

Kama huu ndio mtazamo wa msomi bornagain basi ni dhahiri kuwa nchi hii ina shida kubwa sana.

Yaani kwa akili yako fupi unataka kutudanganya kuwa wasomi wote walikuwa mali ya ccm? unasahau kuwa walikuwepo wasomi wengi tu waliokuwa against ccm?

Dkt. Fortunatus Masha, Dkt. Emmanuel Makaidi, Dkt. John Lifa Chipaka, Kassanga Tumbo, Christopher Ngaiza kwa kutaja wachache ni miongoni mwa wasomi wazalendo waliokuwa wanajitambua na hawakuwa vibaraka wa ccm kama ulivyo wewe.
 
Last edited by a moderator:
Sikatai rule of law...

Lakini fahamu chama kina taratibu zake.Unaweza kwenda mahakamani ukarudishiwa uanachama wako.Kesho yake tukaitisha tena Kamati Kuu tukakufukuza uanachama kwa kosa la kupeleka maswala ya chama nje ya ngazi husika.

Utakimbilia tena mahakamani na itakuwa the same way...

What next???

Next ni kwamba wananchi watakosa imani na chama kwa migogoro msururu public.
 
Back
Top Bottom