Zitto Nani Akuuwe?

Kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao

At a glance CCM they may be planning this to confuse chadema. Politically CCM wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina Mbowe na Slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya Mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa Zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za Chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?

Unasema CCM huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa Zitto? wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha Mungu!

CCM iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na CDM ni threat kwao, politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini CCM ni system, ni mafia then is possible next victim might be YOU!
Mh... maneno makali haya, cha kusikitisha zaidi ni yeye mwenyewe kwenda kuripoti kwa watu walewale wanaotaka kumkaribisha kwenye sherehe ya kafara

To be honest nasikitika sana jinsi kijana mdogo alivyodhani maskio yanapita kichwa... najua members wengi mnanishangaa kwanini nimembadilikia sana huyu jamaa wakati nilikua mstari wa mbele kutetea his intelligent arse; Ukweli ni kwamba he has gone too far akitafuta fame

Anazema anataka kubadili mfumo wa siasa za nchi (hii alisema omarilyas), poor him, huwezi badili usukani wala gia kwa kuwa abiria au utingo ten ukiwa kwenye cabin

his super confidence is digging a well decorated grave for himself
 
wa kumuua zitto ni zitto mwenyewe na madudu aliyojiingiza kwayo

huwezi ukawa mchawi halafu ukaja kupiga kelele ati wanataka kuniroga
Zitto, you have two options; either to come out clean or run away as fast as you can from your current personality and behaviour...

Unfortunately sikuonei huruma mdogo wangu zitto kwani huwezi uza utumbo usinuke

Mkuu Acid,
leo umenifanya nivunjike mbavu..umeongea ukweli.
Hizi nahau na semi mbalimbali huwaga tunazisoma juu-juu tu.
Lakini zinabeba ujumbe mzito sana.
Cha muhimu kuelewa ni kwamba kwa sasa hivi ccm ni zaidi ya mafia !!
 
maadam anataka umaarufu, aondoke akaanzishe chama chake!!
I mean, tumechoka kusikia vimbunga vyake kila kukikucha..
Tunahitaji muda sasa wa ku-focus matatizo yanayolikabili taifa ambayo kwa asilimia 100 yameletwa na ccm na serikali yake.
 
haka ka jamaa kalinifanya niamini siasa at the beginning but as time goes kananichefua sana......kama vipi waka kill tu
 
Kumbukeni maneno ya Mwakyembe alitamka wazi wazi kwamba "hivi ni huyu huyu zitto ninayemjua mimi au mwingine?" ilikuwa ni baada ya kauli ya Zitto kusema mitambo ya Dowans inunuliwe kwa maslahi ya taifa.

Hapo ndipo utata ulipoanza kutokea na watu kukosa imani naye - misimano yake ya awali na sasa ni tofauti kabisa inafikia watu wanahisi rupia ilipenyezwa kuharibu uzalendo wa mpiganaji wetu.
 
Namsubiri omarilyas hapa aje kutupa shule... yawezekana kabisa zitto anasingiziwa
 
Jamani, myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Manumba alielezea vizuri sana kuwa hizi habari anazisikia kwenye vyombo vya habari, lakini hakuna taarifa rasmi iliyofikishwa police. Akashauri kama kuna mtu mwenye taarifa, hata ikiwa ni Zito mwenyewe azifikishe police ili wao waweze kuzifanyia kazi, vinginevyo itakuwa vigumu kwa kurukia mambo. Na alisisitiza kuwa Zito si mtoto mdogo na anaamini kuwa ana akili timamu kwa hiyo kama kuna ukweli wa jambo hilo asingweza (Zito) kushindwa kutoa taarifa polisi.

Je, kwa hapo Manumbo ana kosa gani??????????????????????? Sikusikia tangu mwanzo, lakini inaelekea kuna mwaandishi wa habari alilianzisha suala hili la taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa Zito
 
mkuu sidhani kama anyelaumiwa ni manumba.........
 
Namsubiri omarilyas hapa aje kutupa shule... yawezekana kabisa zitto anasingiziwa

Acha tu siku hizi kuna wasemaji wake kama akina Waberoya, na huyo... sasa hivi wata kuja juu!!
 
Haya NDIO MAWAZO YA WANA-CHADEMA. NA WAKO WENGI. HASA UKIZINGATIA WENGI WANATOKA KARIBU NA WATANI ZETU.

NAOMBA NIWAJILISHE TU KUWA ZITO ANATOKEA KULE SHOKA LILIKOUNGUA MPINI UKABAKI. UKIWEZA JARIBU!

ATAKUFA KWA AHADI YA MUNGU TUU!!

Acha mbwembwe wewe, kama ana uwezo huo basi aanze kwa kuuhamisha mto malagarasi ili kuondoa tatizo la usafiri wa tabora kigoma, si hakuna daraja hadi wanasubiri mkorea atoe feza ndio daraja lijengwe.
Au kama vipi afanye mambo treni ya dar-kigoma iwepo kila siku, awatupe kule wahindi, siunaona waha na wabembe wanavyopata shida ya usafiri.
 
politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible,

nakubaliana na wewe hapo waberoyo. Kidini ni mungu tu. Kibnadamu, binadamu hatuuani kwa sababu tunapenda, tuna huruma na tunaogopa dhambi.
 
ndio dawa ya mtu anayekuchefua eeh?

sio ki hivyo husninyo.....haka kajamaa kanajivika ngozi ya kondoo kumbe ni ka chafu zaidi ya mbwa mwitu....ni bora mtu ujue tu bwana ee rostam ni fisadi kuliko mtu kajifanye kana ponda ufisadi kumbe ndo kashereheshaji kazuri ka ufisadi.........kana udhi sana.
 
Kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao

At a glance CCM they may be planning this to confuse chadema. Politically CCM wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina Mbowe na Slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya Mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa Zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za Chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?

Unasema CCM huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa Zitto? wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha Mungu!

CCM iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na CDM ni threat kwao, politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini CCM ni system, ni mafia then is possible next victim might be YOU!

Hii imekaa vizuri sana na inatoa picha halisi ya yale amabyo wengi tumekuwa yanatupita bila kuchukua umakini wa kuyatafakari. Kuna jamaa mmoja alinidokezea kuwa kwa ile 'sect' au 'inner-cycle' ndani ya CCM, kuna watu ambao wakikuwekea lengo, hata kama utaenda nchi yeyote ya mbali, hukohuko wanakupelekea hayawani-mtoa roho, utalishwa sumu, au unaweza kusawazishwa na kitakachoendelea mengineyo wanayopenda wao! Hawa jamaa ni mkusanyiko wa 'mkono na giza'!
 
Hapo umenena Gagnija!!!
kama ulimsikiliza mzee wa kuharibu Kayombo wa TCRA alitoa ufafanuzi kuhusu suala la usajili wa namba za simu kama kurahisisha kuwatambua wa2 wanao2mia vibaya simu zao k.m. UHALIFU but they can always locate whereabouts the user is using electronic methods hasa mnara uliotumika n.k. Hata walioeneza sms za uchochezi walijulikana but hawakuchukuliwa hatua au kuchunguza zaidi. Habari ilitoka mara1 tu Guardian na mkuu wa 6Telecom alihojiwa so wakina Manumba wana-means zote kwanini wasiwakamate WANAOMTISHA ZITTO?? two theories i can derive here.
  1. They are trying to paint the image to the public that some people are trying to kill Zitto and let the news hang on air for sometym ili wa2 to-debate hii ishu na they understand that 'most people will base to the point that there's conspiracy to kill zitto esp from his party, then
  2. They can develop the plan to do the same ili ionekane kwamba ameuwawa. Kuhusu Zitto mi sidhani kama ni maarufu kiivyo kwani kama hivyo ndivyo why CDM lost 5 swinging kigoma constituencies na wakabeba kiti ki1. He isn't in the mould which Kabourou was back then but wa2 wamemsahau.
these are where my thought are directing me
 
Kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao

At a glance CCM they may be planning this to confuse chadema. Politically CCM wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina Mbowe na Slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya Mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa Zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za Chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?

Unasema CCM huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa Zitto? wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha Mungu!

CCM iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na CDM ni threat kwao, politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini CCM ni system, ni mafia then is possible next victim might be YOU!

Eti unasemaje vile hapo kwenye wino mwekundu ...

Toba!!! Kha! Kha! Kha!!! Heartless beech ... TOO BADA!!! Hakika Dunia imekwisha, naona vya uvunguni kumefika wakati wa kuviweka hadharani mezani watu wakasikie wenyewe.

Sasa taarifa kama hizi zitakapofika kule vijijini nako bado CCM itabakia kitu tena chini ya jua hili???
 
Uki geu geu ndiyo unaowafanya kwa watu ambao wanawatumainia binadamu wenzao wavunjike moyo. Unajua huyu jamaa alijitahidi kuwafanya watu wamuamini na kuweka matumaini yao kwake. Lakini sasa kawavunja moyo watu wengi sana waliokuwa wakimshabikia.
Sababu kubwa ni ukigeu geu, kutoeleweka na kutotabirika (licha ya kuwa hii si muhimu sana), yeye huwa anakurupuka tu na anaongea chochote, hata kama anachoongea sasa kitapinga kwa asilimia mia kile alichotoka kuongea muda mfupi uliopita.
Ndiyo maana wale waliokuwa nae chuoni hawashangai kinachotokea sasa.

Lingine ambalo kwa upande wangu naona ni udhaifu ni ile hali yeye anyoiita ''kujenga confidence''. Ni mzuri sana wa kujenga hali ya kujiamini, lakini tatizo ni kujiamini kusiko na busara na wala chembe ya hekima. Na ndiyo maana nyakati nyingine anaoneka kama ni mtu mwenye dharau na majigambo.

Tofauti na john mnyika ambaye anaonekana ni mtu makini kuanzia anavyoongea mpaka anavyofanya mambo yake. Anaonekana ni kijana mdogo mwenye hekima. Kwa maana anajua mahali pa kuongea, pa kunyamaza au hata mahala ambapo muda unaachiwa kazi ya kuamua jambo.

Lakini kwa ujumla, zitto ni mwanasiasa kijana mzuri tu. Ni mambo machache tu anayopaswa kuyafanyia kazi.

Ni maoni tu wanajf.
Naomba kuwasilisha
 
I have been saying or predicting such kind of... mara kwa mara....nafikiri ni vyema sasa kuandika kumshauri Zitto, he might be in one the very challengin times in his lifetime...a sudden decline...kibaya kabisa ni kudharaulika na watu ambao walikuwa wanakuheshimu na bila shaka unatambua uwezo wao kuwa si wa kubeza, hivyo uwezo wao unaokubali wanapoutumia kukubeza inakuwa tatizo kubwa

Lakini pia nimekuwa mara kwa mara n imekuwa na tahadhari kuchangia hoja zinazomhusu huyu mtu, maana kwa kweli anavyojulikana kuwa ni schemer si ajabu (nimekuwa nikisema mara kwa mara hapa na kwingine pia) kuwa anaweka mambo yake hapa ili ajue watu wanafikiri nini juu yake yeye...ni kati ya mambo ambayo ukimsoma vizuri Zitto anapenda sana...ajue umma unamfahamuje na unazungumzaje juu yake yeye, lakini je inamsaidia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom