CCM wasitegemee kutugawa watanzania kwa kupitia hiyo ccm yao B yaani act kwani makamanda wengi wa ukawa tunauelewa mkubwa sana juu ya mfumo wa vyama vingi tofauti na kipindi kile cha kina Mrema ambacho mliweza kuwahamisha baadhi ya wanachama kutoka chama kimoja kwenda kingine kama vifurushi,hilo kwa sasa haliwezekani kwani tumekwisha gundua janja yenu,hapa ukawa break ya kwanza Ikulu hayo mengine baadae! Pipozz.................
Nakuunga mkono mkuu.