Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

Status
Not open for further replies.
CCM wasitegemee kutugawa watanzania kwa kupitia hiyo ccm yao B yaani act kwani makamanda wengi wa ukawa tunauelewa mkubwa sana juu ya mfumo wa vyama vingi tofauti na kipindi kile cha kina Mrema ambacho mliweza kuwahamisha baadhi ya wanachama kutoka chama kimoja kwenda kingine kama vifurushi,hilo kwa sasa haliwezekani kwani tumekwisha gundua janja yenu,hapa ukawa break ya kwanza Ikulu hayo mengine baadae! Pipozz.................

Nakuunga mkono mkuu.
 
Sasa kama wamemtenga na kumchukia toka 2009 ndo tutashangaa hizo hekaya za 2012 mpaka 2015 kwenye hitimisho? Tatito wajinga wengi wanauangalia mgogoro wa Zito na Mbowe kwenye hitimisho badala ya kuuangalia kwenye chanzo 2009.

Endeleeni kumtwisha Zigo lote la tuhuma kana kwamba Mbowe ndo mtu mwema. Lakini naomba niwaambie ukweli pro-mbowe ni kwamba watu wengine tumeamua kuweka pamba masikioni wala haitotokea tukubali upuuzi wenu mnaotaka kutuaminisha.

Tumepigia mstari, safari imeanza upya.

hiyo safari hamtafika nakuhakikishia, mbegu mliyo ipanda nyie ni gugu hali wezi stawi, hata likistawi litakuwa karahaa tu kwa mbegu nzuri
 
Sasa kama wamemtenga na kumchukia toka 2009 ndo tutashangaa hizo hekaya za 2012 mpaka 2015 kwenye hitimisho? Tatito wajinga wengi wanauangalia mgogoro wa Zito na Mbowe kwenye hitimisho badala ya kuuangalia kwenye chanzo 2009.

Endeleeni kumtwisha Zigo lote la tuhuma kana kwamba Mbowe ndo mtu mwema. Lakini naomba niwaambie ukweli pro-mbowe ni kwamba watu wengine tumeamua kuweka pamba masikioni wala haitotokea tukubali upuuzi wenu mnaotaka kutuaminisha.

Tumepigia mstari, safari imeanza upya.

mwaka huo 2009 kulitokea nini au umeaminishwa nini? manaake akina wasira walianza kumshawishi aweke mgogoro unaobeba dhana ya udini, ukabila et el, ndio maana wewe na jamaazako wa CCM Mkatunga terminology kama chagadema et el! ilikuwa special agenda ambayo muda c mrefu tutaimwaga humu, kuwa mvumikivu kidoogo utashangaa!
 
Hebu achana na huu ujinga Zitto kisha ondoka CDM ana chama chake bado yuko upinzani, ni wakati sasa wa kuangalia mbele hii single ya usaliti imechuja tusonge mbela.....

Mwaka 2012 kulikuwa na uchaguzi wa Arumeru Mashariki uliopelekea Bwana Nasari kuibuka kidefea na kuwa muwakilishi wa wananchi katoka jimbo hilo.

Katika harakati zilizokuwa zikiongozwa na viongozi karibia woote kasoro kundi moja tuu lililokuwa likiongozwa na ZZK, nakumbuka katika kundi hilo kuna baadhi ya viongozi wa vijana I.e. bavicha walikuwa wamejitenga na kampein hizo.

Tafakali uzi niliouandika Mwaka huo na utabiri wa usaliti!
 
Hebu achana na huu ujinga Zitto kisha ondoka CDM ana chama chake bado yuko upinzani, ni wakati sasa wa kuangalia mbele hii single ya usaliti imechuja tusonge mbela.....

kaondoka ndio lakini mambo anayoongea baada ya muda vitamwagika vitu hapa na pia ni wajibu kila mtu amwelewe kiongozi wake vizuri na malengo yake!

kama uko ACT ujue huyo mwanzilishi je ni mtu honest au anawasanii watanzania kwa ajili ya ma elite fulani! open up your eyes!
 
Wenzio kina SAANANE na YERIKO wametangaza nia ya kugombea ubunge wakati utakapo fika, hatutazamii wakati ukifika wawekewe mikingamo katika njia wanayo pita hili hatutalikubali. unajua kwamba BEN ni mtu wa Rombo unadhani nini kitampata kwa mtazamo wako, lakini pia ni ujinga kila unayetofautiana naye mawazo kudhani yuko chama tofauti na wewe.
Zitto ni kijana kuna ndoto zinapita kichwani mwake kama hao nilio wataja naongea nawe kwa sauti ya chini acha kupiga vita vijana wenzio....
 
Status
Not open for further replies.
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom