Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,585
- 93,273
Hivi una akili kweli? Shibuda shoga yule ulitaka agombee na nani? Hata nyie Chadema mnajua hamna jinsi kwasababu mnataka kuongeza idadi ya wabunge. Kweli wewe chizi maarifa Bilali alishinda kura za maoni hakupita kwenye uteuzi wa mwisho chama kilimuona Karume ana uwezo zaidi wa kumshinda Maalim Seif.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Wewe ndio huna akili wala kumbukumbu, upo CCM kama mbumbu mbu tu, mwaka 2000 Gharib Bilal alishinda kura za maoni Zanzibar ila CCM Dodoma ndio wakamtosa, hakukata tamaa, na mwaka 2005 alichukuwa tena fomu kupambana na Karume je ni kwa nini CCM ilimwomba aondowe jina amuachie Karume peke yake?
Pili huu ni mwaka wa uchaguzi Mkuu ndani ya CCM je kwenye nafasi ya uenyekiti JK atagombea na nani?