Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama ana tatizo, mbona nchi hii hata mtoto wangu anaweza kuongoza tuu! Tunaangalia sura sio uwezo ref maRais woote waliopita utaona kitu ninachokisema
Huyo mtoto wako unayemtaja ana umri gani? kama unataka kututukana wa tanzania tafadhali acha kabisa. Labda akuongoze wewe na ndugu zake kama wapo.
 
Mh. Kabwe anajaribu kupima akili za watu aone watasemaje. Na anajua anachotaka na anafanya makusudi bin makusudically. Ila kwenye makala yake alimalizia vizuri sana. Alisema hata kama watanzania watasema siyo atakubaliana nao. Nia yake ni kuwa watu wamtambue kuwa yeye si kijana tu bali ni mmoja kati ya wakongwe wa CHADEMA
 
Bethlehem inabidi upitie thread kama hii zilizokuwa zinamdirect Zitto moja kwa moja na kam dalili za usaliti!
 
Mwaka 2012 kulikuwa na uchaguzi wa Arumeru Mashariki uliopelekea Bwana Nasari kuibuka kidefea na kuwa muwakilishi wa wananchi katoka jimbo hilo.

Katika harakati zilizokuwa zikiongozwa na viongozi karibia woote kasoro kundi moja tuu lililokuwa likiongozwa na ZZK, nakumbuka katika kundi hilo kuna baadhi ya viongozi wa vijana I.e. bavicha walikuwa wamejitenga na kampein hizo.

Tafakali uzi niliouandika Mwaka huo na utabiri wa usaliti!


Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

Nimesikitishwa saana na habari zilizo enea na kutangazwa na vyombo vya habari siku ya leo kuwa naibu katibu mkuu ana mpango wa kugombe urais, siyo kwamba nimesikitishwa na nia yake! Bali timing yake, hivi ni kweli mheshimiwa ameona huu ndio wakati muafaka kutangaza nia au kuna ajenda nyingine? Kwa kweli I was so furious with the breaking news, kama ni kweli mheshimiwa Zitto umeona ni muda muafaka nitakuwa na wasiwasi na weredi wako! Kila jambo lina majira yake mheshimiwa Zitto!

Sio kuwa hustahiri ila muda huu concentration nadhani imekuwa ni uchaguzi wa Arumeru, imekuwaje wewe ukaona tena ndio muda wako muafaka kwa ajiri ya kutangaza nia yako ya kugombea urais! Au kuna ajenda nyingine? Manaake the attention will definitely be drifted from Arumeru mpaka hoja yako, what is that?

Huelewi kuwa results zake zitakuwa mbaya? Kwa kweli nimeanza kuwa na wasiwasi na baadhi ya viongozi kwenye vyama vya upinzani, nilifikiri lengo la vyama ni kuwa na sera mbadara za kumkomboa mtanzania, kumbe naanza kuwa na mashaka, lakini hata kama umewekwa pandikizi

I think you need to be a very introspective pandikizi and muono wako usiwe wa kiafrica I mean thinking of only tomorrow, but uwe unaenda mbali zaidi think of atleast 20 yrs ahead, I can assure you the day will come the rotten System will have to go! Don't be among the leaders who will have to go with the rotten system.

Sory kwa kuandika ujumbe mzito namna hii , ila kwa kweli nimesikitika na kwa kuwa mimi ni mpenzi wa mageuzi without a party,but, you have made me doubt your party if you really have good intentions with our mourning nation.

Nawasilisha
 
kati ya wachangiaji alikuwa ni ZZK Mwenyewe akiwa katika hidden id ambayo sitaitoa hapa japo naifajamu! kutokana na masharti ya uendeshaji wa forum hii.
 
Niliwahi kutabiri usaliti ndani ya cdm, mod akaufuta ghafla, haikupita wiki moja au mbili ule mdocument wa mm akabumbuluka. Hawa jamaa uasi woa ulikuwa wazi sana kwa mtu yeyote mwenye hekima.

Wote hawa ni watu hatari sana na wanatumiwa na kulipwa na tiss ccm, hawapo kwa ajili ya usalama wa taifa.
 
ndo kishakwenda na mto mkubwa kama ruvu utampata wapi tena huyo, tusubiri baada ya siku tatu ataibuka tukazike
 
Niliwahi kutabiri usaliti ndani ya cdm, mod akaufuta ghafla, haikupita wiki moja au mbili ule mdocument wa mm akabumbuluka. Hawa jamaa uasi woa ulikuwa wazi sana kwa mtu yeyote mwenye hekima.

Wote hawa ni watu hatari sana na wanatumiwa na kulipwa na tiss ccm, hawapo kwa ajili ya usalama wa taifa.

mkuu kama inahisia kidoogo za kiusalama kwa vile huyo bwana ZZK alivyokuwa anafanya utajua kuna mtu alikuwa anamiinstict ila hakuwa smart!
 
ndo kishakwenda na mto mkubwa kama ruvu utampata wapi tena huyo, tusubiri baada ya siku tatu ataibuka tukazike

hapo nilimtabilia ushortsitwdness kuwa atakombwa na mafuliko hebu tusubiri tuone ni suala la muda! sijui kama anaukumbuka uzi huu
 
Jamaa kama anachanganyikiwa vile. Kila siku ni kuvisema vyama pinzani vyenzake! Badala ya kupambana na wenye dola ccm, wanapambana na wasio na dola wenzao! Kwa staili hii kila mtu anajua act ni off shoot ya ccm. Na kwa kuweza wazi mno usaliti huo, ni ngumu kufanikiwa. Zito na kina Kitila wake watapotea na ccm haitonufaika kivile.
 
Issue ya zito wapenzi wengi wanaingalia upande mmoja(biased)

Hata ukiangalia upande wa pili juu na chini utaona msaliti tu na usaliti wake, alikana hajui ACT iweje juzi akiri kuianzisha, alisema hanashida na madaraka iweje awe supreme leader, akudanganye wewe sio umma.
 
wahanga wa vurugu za Zitto ni:

1. Nakaya
2. Juliana Shonza
3. Kafulila
4. Mkosamali
5. Mtela Mwampamba
6. Madiwani Arusha
7. Nyakarungu
8. Mwigamba
9. Kitila Mkumbo
10. Said Arfi
11. Habib Mchange
12. n.k.
 
CCM wasitegemee kutugawa watanzania kwa kupitia hiyo ccm yao B yaani act kwani makamanda wengi wa ukawa tunauelewa mkubwa sana juu ya mfumo wa vyama vingi tofauti na kipindi kile cha kina Mrema ambacho mliweza kuwahamisha baadhi ya wanachama kutoka chama kimoja kwenda kingine kama vifurushi,hilo kwa sasa haliwezekani kwani tumekwisha gundua janja yenu,hapa ukawa break ya kwanza Ikulu hayo mengine baadae! Pipozz.................
 
Naona mungu alikuotesha na kuliona hili mapema. Days for rotten system have come to go out. Ndio maana kajiondoa mwenyewe na wasaliti wenzake. Kuna TISS + CCM nyuma yake, lengo kugawa kura za wapinzani ili washinde October 2015 bila kufanya hivo kitumbua kitadumbukia chooni

Mwaka 2012 kulikuwa na uchaguzi wa Arumeru Mashariki uliopelekea Bwana Nasari kuibuka kidefea na kuwa muwakilishi wa wananchi katoka jimbo hilo.

Katika harakati zilizokuwa zikiongozwa na viongozi karibia woote kasoro kundi moja tuu lililokuwa likiongozwa na ZZK, nakumbuka katika kundi hilo kuna baadhi ya viongozi wa vijana I.e. bavicha walikuwa wamejitenga na kampein hizo.

Tafakali uzi niliouandika Mwaka huo na utabiri wa usaliti!
 
Issue ya zito wapenzi wengi wanaingalia upande mmoja(biased)

Sasa kama wamemtenga na kumchukia toka 2009 ndo tutashangaa hizo hekaya za 2012 mpaka 2015 kwenye hitimisho? Tatito wajinga wengi wanauangalia mgogoro wa Zito na Mbowe kwenye hitimisho badala ya kuuangalia kwenye chanzo 2009.

Endeleeni kumtwisha Zigo lote la tuhuma kana kwamba Mbowe ndo mtu mwema. Lakini naomba niwaambie ukweli pro-mbowe ni kwamba watu wengine tumeamua kuweka pamba masikioni wala haitotokea tukubali upuuzi wenu mnaotaka kutuaminisha.

Tumepigia mstari, safari imeanza upya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom