ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,275
- 5,962
Huyo mtoto wako unayemtaja ana umri gani? kama unataka kututukana wa tanzania tafadhali acha kabisa. Labda akuongoze wewe na ndugu zake kama wapo.Sidhani kama ana tatizo, mbona nchi hii hata mtoto wangu anaweza kuongoza tuu! Tunaangalia sura sio uwezo ref maRais woote waliopita utaona kitu ninachokisema