Binafsi siamini katika ubaguzi wa namna yeyote ile,hata ya wazee.
naamini kwamba chama makini ni mchanganyiko wa mawazo wa watu wa rika zote..
naamini kuwa wazee wana hekima ya kupima mambo kwa kina na vijana wana ambitions nyingi za kufanikiwa haraka haraka...
mchangayiko wa haya mawili huzaa kitu kizuri.
yaliyotokea nccr mageuzi hatuwezi kuyahusisha na wazee kwani nina imani kikao kilichomfukuza hakikuwa na idadi kubwa ya wzee ukilinganisha na vijana....
kwa mantiki hiyo nasema kuwa kusema eti chama cha vijana tu ndo bora ama cha wazee tu ndo kibovu si sahihi.
tu
tuwe na busara na kuvumiliana ndipo tutajenga taifa imara,tamaa ya madaraka na mali inaweza kutupotezea watu makini.