Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,041
- 103,473
Ww lazima utakuwa ni mzee, ndio maana una mitazamo so outdated. Uzuri wa hii mitandao ya kijamii, hata nyie wazee mliopeteza ramani mnapata nafasi ya kupunguzia uzee.Tunapotaka kufanya maendeleo ya nchi
Yatupasa kuangalia vitu vingi sana mkuu wangu hasa hasa hii dunia ya sasa,
Yataka intelligence ya hali juu kuleta maendeleo katika mataifa kama Tanzania
Kuondoa siasa ya vyama vingi ni moja ya intelligence moja wapo laasivyo hatufiki popote au tuende kwa mwendo mdogo sana
Lazima tuwe na one direction kama ilivyokua kwa THE GREAT LEAP FORWARD china
Haya Shauri Zetu