Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

Na hii ndio maana ya Prof. Assad "cash ifanyie mambo mengine" nunua madawa kopa ndege, biashara itajiendesha deni linalipwa.
Ila one man show, mipango ya ndege mwenyewe, mnunuzi mwenyewe, angekua na uwezo angekua rubani ye mwenyewe.
Kwa ungese huu ipo siku tutasema tuuze hospital tulipe mishahara,eti Asad kasema?!

Asad ni fisadi kama hakina kigwa tu. Hana usafi wowote kipindi cha Dau walijiuzia nyumba za NSSF na kununua viwanja kule kigamboni kwa bei sawa na NEW YORK CITY.

Hawa mafisadi wana kawaida kushadadia ya wenzao kama walikosa asilimia 10.
 
Huu ulioandika sasa ndio ungese og!!!
 
Kwenye ile list yetu kabakia nani ambaye hajaonesha ufundi wake jukwaani??
 
Safiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961

Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
Haya Shauri Zetu
Ndugu yangu shida sio mfumo wa vyama vingi, shida ni sera kama sera mbovu hamna tutachofanikisha, kwani sasaiv chama ni kimoja ila utaona. Bungeni wanawabunge kazi ni unafiki, na hawasemi ukweli wanaongelea mambo ambayo hayana msingi. Wanashindwa kutekeleza wajibu wao na ni kuisimamia serekali. Kila mmoja anasifu ili awe waziri. Hilo ni tatizo. Mifumo mibovu hapa unaongelea ajira hamna tz wakati nafasi za waziri na naibu ni 46 kwa pamoja. Izo ni ajira 46 zimeshikiliwa na watu wenye ajira tayari halafu inategemea watatuangalia watz wengine. Shida sio chama kimoja au 6 shida ni sera na katiba. Na ndo zinatuletea vilaza bungeni watu wenye akili wanatupwa mitaani tunaenda vilaza bungeni na ofisini
 
Leta sera ya kubadili hiko kitu uone mtafaruku na wasaka tonge watakavyo lalamika. Wabunge wana compensation kubwa ila na uwaziri juu. Watz waelewe wanasiasa wanapata fedha nyingi sana. Zziara ya waziri ya siku mbili posho take ni mshahara wa mtu wa mwezi na wengine hawafiki huko bado hajalipwa kwa kuwa mbunge 9mil km sijakosea bado pishi za kujikidhi sijui yani wenye taarifa waweke hapa. Kuna watu wanakazi nyingi wakati watu wengine hawana ata moja. Fedha haizunguki sera mbovu katiba mbovu na capitalist capitalize on those flaws
 
Km tunataka maendeleo lazima katiba ibadilike, mtu ashikilie kazi moja tu,ukiachilia kuwa board member na iyo pia mtu awe limited to one when it comes to mambo ya Umma na sio private companies. Ndo change zitakuja. Spike ni mbunge, kazi mbili izo. Alaf wizara zizingatie professionalism na sio siasa. Kuna some ppl ni unique sawa ila some hawana uzoefu na ujuzi wa kuendesha some wizara. Mwalimu na madini, nishati fedha ulinzi nk. Mifano tu. Na kuna mengi ya kubadili ila sio vyama vingi. Kutaka chama kimoja ni sawa na kusema dini iwe moja
 
Kwa ungese huu ipo siku tutasema tuuze hospital tulipe mishahara,eti Asad kasema?!

Asad ni fisadi kama hakina kigwa tu. Hana usafi wowote kipindi cha Dau walijiuzia nyumba za NSSF na kununua viwanja kule kigamboni kwa bei sawa na NEW YORK CITY.

Hawa mafisadi wana kawaida kushadadia ya wenzao kama walikosa asilimia 10.
Ishu sio kutukanana, watu ni capitalist,ata ww kwenye mianya utapiga. Sijui km ulisema yana ukweli ila ukweli amesema we need strong institutions and rule of law. Katiba imara au tutegee ujinga mwengine akiingia mungu mtu mwengine
 
Safiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961

Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
Haya Shauri Zetu
Unaongea mambo ya kubuni bila taarifa sahihi.

Singapore kuna jumla ya vyama vya siasa 30.

...Seven new parties were formed in the 1970s (including the Justice Party, Singapore and the United Front, the preprocessor of today's Democratic Progressive Party), two in the 1980s, two in the 1990s, three in the 2000s, and six in the 2010s. The newest party to be registered is Singapore United Party, on 24 December 2020.[1]There are therefore a total of 30 registered political parties today, of which ten have never contested in an election....
 
Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.

Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.

Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.

CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.

..nadhani mawazo kama yako ndio yanaichimbia ccm kaburi.

..serikali imefanya makosa makubwa kutumia 1.5 trillion kununua ndege na kulibebesha taifa mzigo wa hasara.
 
Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.

Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.

Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.

CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
Ndege tumejaribu na kufeli. Bora nusu hasara kuliko hasara kamili. Cha kufanya ni kuuza ndege na kubakiwa na kadhaa kwa ajili ya matumizi ya ikulu na kwa majibu ya mahitaji ya serekali tu.
 
Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.

Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.

Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.

CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
Kwenye suala la ndege alicheza vizuri. Kama kuna hasara iangaliwe uhalali wa hasara na sababu au visababishi. Biashara ya ndege duniani kote imekumbwa na mitikisko. Watu hawataki ndege wanataka walete za kukodisha km zamani! Wapige someone behind this move.
 
Unaongea mambo ya kubuni bila taarifa sahihi.

Singapore kuna jumla ya vyama vya siasa 30.

...Seven new parties were formed in the 1970s (including the Justice Party, Singapore and the United Front, the preprocessor of today's Democratic Progressive Party), two in the 1980s, two in the 1990s, three in the 2000s, and six in the 2010s. The newest party to be registered is Singapore United Party, on 24 December 2020.[1]There are therefore a total of 30 registered political parties today, of which ten have never contested in an election....
Usikurupuke tena wakat wa kunijibu, Nilie mquote ndie alisema Singapore ni chama kimoja nimemjibu accord na alichosema
 
Unaijua Botswana? Ni nchi ya chama kimoja? Namibia ni nchi ya chama kimoja? Singapore, Hong Kong, Brazil, ni nchi za chama kimoja?
Zoote hizo zina VYAMA VINGI..
Safiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961

Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
Haya Shauri Zetu

Unaongea mambo ya kubuni bila taarifa sahihi.

Singapore kuna jumla ya vyama vya siasa 30.

...Seven new parties were formed in the 1970s (including the Justice Party, Singapore and the United Front, the preprocessor of today's Democratic Progressive Party), two in the 1980s, two in the 1990s, three in the 2000s, and six in the 2010s. The newest party to be registered is Singapore United Party, on 24 December 2020.[1]There are therefore a total of 30 registered political parties today, of which ten have never contested in an election....

Usikurupuke tena wakat wa kunijibu, Nilie mquote ndie alisema Singapore ni chama kimoja nimemjibu accord na alichosema
Hamatan aliuliza swali, hakusema Singapore ina chama kimoja. We ndo ulisema hivyo.

Sasa hapo mkurupukaji ni nani?!!!
 
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Mirad bubu ya wazalendo
 
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
What is Zitto's point here?
 
Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries

Naona bado uko kwenye hangover ya utawala wa dhalimu. Amka boss kumekucha, udhalimu mwisho chattle.
 
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Huyu chizi naye kaamka! Bombardier ilimuokoa kigoma, sasa hivi angeshasahaurika huyu! Sababu nyingine kuwa Magu aliwapenda sana watz, yaani mpska Zito nae alisaidiwa na Magu! Rip shujaa wetu, hatuta kusahau kamwe 😭!
 
Back
Top Bottom