misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,668
- 9,373
Kwa ungese huu ipo siku tutasema tuuze hospital tulipe mishahara,eti Asad kasema?!Na hii ndio maana ya Prof. Assad "cash ifanyie mambo mengine" nunua madawa kopa ndege, biashara itajiendesha deni linalipwa.
Ila one man show, mipango ya ndege mwenyewe, mnunuzi mwenyewe, angekua na uwezo angekua rubani ye mwenyewe.
Asad ni fisadi kama hakina kigwa tu. Hana usafi wowote kipindi cha Dau walijiuzia nyumba za NSSF na kununua viwanja kule kigamboni kwa bei sawa na NEW YORK CITY.
Hawa mafisadi wana kawaida kushadadia ya wenzao kama walikosa asilimia 10.