Zitto Kabwe kuachia Uongozi wa Chama (ACT Wazalendo) Machi 2024

MBOWE NI MUNGU WA CHADEMA KUTOKA KWENYE MADARAKA MPAKA AFE
Utakua msukule wa Zitto tu wewe, viongozi wa upinzani wapo wengi kama Lipumba na Cheyo mbona umegota kwa Mbowe? Sikiliza we mchawi huu upuuzi wenu hautafanikiwa kama ambavyo jamii mnazotoka bado ni duni na dhalili sana.

Wewe na alokutuma japo mnajinadi.mm3soma sana bado ni washamba wakutupwa na washenzi sana.

Jamii yenu inashangaza hadi karne hii mnakunya porini na kuchambia vikopo vya kutu.
 
Uchawi umemharibu sana huyo mtoto... niliwahi kuwa nae kwenye kamati flani ya Kikwete ni mtu wa kujifukiza dawa saa zote na mwenye tamaa nyingi. Ni mtu mwenye wivu mkali kama wa mamba na huchukia sana anaodhani wako smart kumzidi na ni mwangamivu na mwaribifu sana.
Kila kitu anataka asifiwe yeye.

Yaani yeye anajiweka kuliko hata Chama Chake
 
Zitto amesema kiongozi yeyote ambaye hatengenezi mrithi wake, basi huyo ni kiongozi ambaye amefeli. Anasema tayari chama chake kimetengeneza vijana wengi wenye uwezo wa kuongozi hata yeye asipokuwepo.

“Muda wangu wa uongozi unakwisha Machi 30, 2024. Kama hatujengi watu wa kutosha, nani atakuja kuwa kiongozi? Lakini kwa sababu Watanzania wamezoea ukiwa kiongozi wa chama cha upinzani, wewe ni wa kudumu, hilo ni jambo la ajabu sana.

“Mimi kama kiongozi ninasema hapana, nimetumia muda wangu kwa mujibu wa katiba yetu, wa miaka 10 na actually (hakika) nimerudisha nyuma kwa sababu ilikuwa nimalize mwaka 2025, nimesema hapana, hatuwezi kubadilisha uongozi mwaka wa uchaguzi, turudi nyuma tufanye mwaka 2024,” anasema.

Alisema Machi 2024, watakuwa na kiongozi mwingine wa ACT Wazalendo na kwamba jopo la viongozi kivuli linawapa machaguo ya kwenda kusema fulani anafaa, na hilo analiona kuwa la muhimu zaidi kwenye siasa.

Zitto anabainisha kwamba amekuwa akijizuia kusema ili kuwapa nafasi viongozi wengine kusema kupitia wizara wanazozisimamia katika baraza kivuli la chama hicho. Anasema kupitia hilo, viongozi wengine wanajulikana na kupata ujasiri wa kufanya siasa.

“Tuna watu ambao wana uwezo mkubwa. Ukiangalia reaction ya wanasiasa kwenye suala la Loliondo, ukilinganisha na wanasiasa wa vyama vingine na siasa ambayo Bonifasia Mapunda aliifanya kwenye suala la Loliondo, unaona tofauti kwa sababu sisi kuna vijana wanafanya utafiti na kulifahamu jambo,” anasema kiongozi huyo.

Mwanasiasa huyo ambaye alikuwa mbunge wa Kigoma Mjini, anawataka wanahabari kuwapa nafasi viongozi wao ili waweze kutetea masilahi ya Taifa kupitia baraza kivuli ambalo limeundwa na ACT kuziba pengo la kukosekana kwa baraza kivuli bungeni.

Likiwepo la kusema nitasema
Zitto alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli na kila lilipotokea jambo hakusita kujitokeza na kukemea vikali jambo hilo hadharani na kuitaka Serikali kuchukua hatua.

Baada ya Rais Samia kuingia madarakani, Zitto amepunguza ukosoaji kama alivyokuwa huko nyuma, jambo ambalo limekuwa likiibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii ambapo watu wamekuwa na mapokeo tofauti.

Hata hivyo, yeye anaeleza kwamba kama kuna jambo lolote lenye masilahi mapana kwa umma, lazima aingie. Anasema pale panapohitajika kusema atasema kama kiongozi wa ACT Wazalendo.

“Moja ya mambo ambayo nilikuwa kinara wakati wa utawala wa Magufuli ilikuwa ni kutetea watu, watu wanaotekwa. Ndiyo maana mlisikia namzungumzia Ben Saanane, Simon Kanguye, Erick Kabendera nje na ndani ya Bunge.

“Sasa, mnataka niseme vile, nionyeshe nani katekwa, sema fulani ametekwa hukusema, biashara fulani imevunjwa hukusema, mwandishi wa habari fulani amekamatwa hukusema. Kila msimu una shughuli zake.

“Msimu wa kushangilia, wewe ukizomea, watu watakuona juha. Msimu wa kushangilia, wewe ukizomea watu watakuona zwazwa. Msimu wa Rais Magufuli ulikuwa ni msimu wa kuhami demokrasia, angalau zibakie sauti chache za kupigania demokrasia,” anasema Zitto.

Anaongeza kwamba msimu wa Rais Samia ni msimu wa kusimamia mageuzi yanayotakiwa katika nchi ili angalau nchi irudi katika mazingira yaliyokuwepo kabla ya mwaka 2015. Alisisitiza kwamba misimu hiyo miwili ni tofauti.

MWANANCHI
Sio kwa Zito huyu
 
Sijawahi ona upinzani dhidi ya wapinzani ukapata nguvu kwa wenye mawazo mbadala wa kuchukua nchi kwa kuondoa chama tawala ukifanikiwa kujificha usijulikane.
Zitto sii mpinzani bali kikaragosi cha watawala kuzuia upinzani.
Chama sio duka kama wanavyofikiri wengi.
Kati ya waanzilishi wa vyama walioshindwa kwa sababu ya dhamiri ni zitto.
ACT ni inatembelea nyota ya Seif aliyekuwa mpinzani kweli. Ukiondoa tu watu waliotengenezwa na kuandaliwa na marehemu Seif ndani ya ACT hakibaki tena chama ila genge la madalali ya nitoke vipi.
Hilo kila mwenye ufahamu analijua.
 
Hata Mbowe kabla ya kwenda Ghetto Ukonga alinukuliwa na gazeti hilohilo kwamba atang'atuka 2023. Tusubiri tuone na Katiba ya Chadema inasemaje. Kama Mbowe anaweza kukojolea Katiba ya chama chake pendwa anapata wapi uhalali wa kudai Katiba ya nchi? Tatizo la vyama hivi ngeni ni RUZUKU na jukwaa la kujitetea na himaya Yako kimaslahi. Pumzika Zitto. Tusaidie kummaliza Mbowe kisiasa.
 
Mazingaombwe hayo....!!

Tanzania siyo Britain. Tanzania bado iko kwenye mapambano .... Hata ANC Tambo alikaa madarakani miaka kama 30. Kwenye mapambano kama haya hutakiwi kubadilishabadilisha viongozi. Hiyo luxury wanayo CCM tu kwa vile wameshika UTAMU!!
Kwa hiyo mzee Mbowe atakuwa Mwenyekiti hadi akatae Mwenyewe siyo
 
Hata Mbowe kabla ya kwenda Ghetto Ukonga alinukuliwa na gazeti hilohilo kwamba atang'atuka 2023. Tusubiri tuone na Katiba ya Chadema inasemaje. Kama Mbowe anaweza kukojolea Katiba ya chama chake pendwa anapata wapi uhalali wa kudai Katiba ya nchi? Tatizo la vyama hivi ngeni ni RUZUKU na jukwaa la kujitetea na himaya Yako kimaslahi. Pumzika Zitto. Tusaidie kummaliza Mbowe kisiasa.
bladidaken , hatoki mtu hapa! nchi ya kishetai kama hii hatoki mtu. Ikipatikana katiba kama ya Kenya/USA and ther western world in general, basi mbowe anaweza kuondoka. Lakini kwenye udikiteita kama huu, hatoki mtu hapa!
wewe jtu hovyo bladifaken
 
Back
Top Bottom