Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini

upuuzi wa jk msituletee!!!!!!kwa nini Zito,na si Godbless Lema kwenye hiyo presidential entourage!!vigezo vipi hutumika!toeni upuuzi wa jk!
Hata kama tuna hasira na JK daa hii imezidi bana, kwani kunaubaya gani akienda na Zito??
 
Wanajf,
Gazeti la Tz daima limeripoti leo kuwa kikwete anamjenga zitto. Habari hiyo ikiongozwa na picha za wawili hao wakiwa Sudani kusini. Habari imeelezea pia jinsi JK alivyokuwa Kigoma akitembea na zitto huku wananchi wakiwaangalia alipokwenda kuhutubia huko. Habari inaelezea pia kuwa Zitto ameandika kwenye face book yake kwamba JK amemnog'oneza kwamba anataka mrithi wake awe wa umri wa akina Zitto na kafulila.
my take,
Nina wasi wasi na habari nyingi za Zitto magazetini siku za karibuni.
Pia nauliza; Je, inawezekana JK alimwambia Zitto aanzishe hoja ya posho kabla ya viongozi wenzake wa chadema, wakati hoja yenyewe ilakuwa ni sera ya Chadema?

kwani wewe mrema kipara.....
huwezi kuishi bila majungu? jk anajenga zitto je unauhakika nausemalo?inamaana kiongozi wa nchi ni adui yenu kwa sababu ya makelel yenu? au ndio kazi yenu cdm kupigania madaraka tu, na mbona huyo mbowe hajarudisha gari na posho hawajaandikabarua ya kuzikataa, watu mliodisco...chuo mnaishi kwa taabu sana hapo makao makuu, yani bila mbowe hamna chenu poleni sana.
 
Hii tena kali. Ina maana wanaishi kwa kukinga bakuli! Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!
 
Wanajf,
.............
Pia nauliza; Je, inawezekana JK alimwambia Zitto aanzishe hoja ya posho kabla ya viongozi wenzake wa chadema, wakati hoja yenyewe ilakuwa ni sera ya Chadema?

Wewe labda kuna issue nyingine........

yaani unaona uwezekanao wa akili ya jk kumwambia zitto mambo ya posho. Hivi kati ya JK ya Ziito nani anaweza kumshauri mwenzake. Zitto anamuheshimu JK saabu ni president kama tunavyowajibika kikatiba watanzania wote kumuheshimu.

Lakini sioni kama JK ana uwezo wa kusmahuri zitto jambo lolote lenye maana iwe ni uchumi , siasa. etc. Labda kama zitto ndo anamshauri JK. Otherwise mambo wanayo o ngea ni kuuza chai muda upite.
 
WE better think on what kind of Nation we are intending to build and not who we are intending to support!!!! PLEASE GUYZ!! am sad of this tread
 
kwani wewe mrema kipara.....
huwezi kuishi bila majungu? jk anajenga zitto je unauhakika nausemalo?inamaana kiongozi wa nchi ni adui yenu kwa sababu ya makelel yenu? au ndio kazi yenu cdm kupigania madaraka tu, na mbona huyo mbowe hajarudisha gari na posho hawajaandikabarua ya kuzikataa, watu mliodisco...chuo mnaishi kwa taabu sana hapo makao makuu, yani bila mbowe hamna chenu poleni sana.

Wewe umechemsha kabisa, mimi si Mrema wala siko Dar. Wewe una mremaphobiasis
 
Kuongozana na Zitto, tena mmojawapo wa viongozi wa kambi ya upinzani si tatizo. Tatizo na tabia ya UDINI aliyo nayo JK. Theorize hivi, mwaka 2015 kama anataka mdini wa dini yake atasema kama ilivyowahi kuandikwa. Safari hii ni zamu ya wenzetu wanawake, akimlenga Anna Rose Migiro, au atasema safari hii ni ya wenzetu kule Zanzibar akimlenga Ali Mwinyi. Kama hiyo haiwezekani na anaona dhahiri jinsi ccmagamba kilivyotota , inaweza kuwa ni harakati ya kupata mwenzao kupitia upinzani. Hapa muhimu kwake ni kumpata MWENZETU.
Lakini pia yaweza kuwa ni njia tu ya kuleta migogoro CDM. I do not think Zitto would fall to that trick.Zitto ought to be maturing with time.
 
hata kama tuna hasira na jk daa hii imezidi bana, kwani kunaubaya gani akienda na zito??
huyu mtu ni mdini,anadhani yeye mjanja sana,kisa kufanya magumashi kuingia ikulu!zingatia hoja!kwa nini zito?si lema?riz1 rafiki wa zito tangu chuo,udini unamsumbua jk,najilaumu kuongozwa na kilaza kama huyu!nashukuru sijawahi kumchagua!
 
Tatizo nilionalo ni ukosefu wa transparency kwenye mifumo ya uongozi kwenye chama na serikali

Hatujui ilikuwaje JK akafuatana na ZK badala ya watu wengine

1. Amepeleka ombi kwa kambi ya upinzani ikamchagua Zitto

2. JK specifically amemchagua Zitto

3. Zitto ameomba kwenda safari hiyo

Kwa vile hakuna uwazi, ndipo nafasi ya kupika majungu inajitokeza
 
My instinct tell ni ni Ofisi ya spika ndo imemchagua kuwa kutoka upinzani aende Zitto.

So kwa kuwa Ofisi ya spika inadhibitiwa na CCM inawezekana waka collude au inawezekana wanamjua Boss wao wa CCM mbunge mpinzani anayeiva naye ndo huyo zitto.

Nadhani kwenye msafara wa rais pia ofisi yake lazima pia iridhie nani awe na nani asiwe kwenye msafara.

Hapo hakuna nafasi ya CDM kuchangua ni ofisi ya bunge then ofisi ya rais inaridhia. Hivyo ndivyo nionavyo.
 
Hivi ZITTO alikwenda SUDAN kama mwakilishi wa vyama vya upinzania au kama JK friend!. But what ever the case well and good cause South Sudan is now Independent!
 
My instinct tell ni ni Ofisi ya spika ndo imemchagua kuwa kutoka upinzani aende Zitto.

So kwa kuwa Ofisi ya spika inadhibitiwa na CCM inawezekana waka collude au inawezekana wanamjua Boss wao wa CCM mbunge mpinzani anayeiva naye ndo huyo zitto.

Nadhani kwenye msafara wa rais pia ofisi yake lazima pia iridhie nani awe na nani asiwe kwenye msafara.

Hapo hakuna nafasi ya CDM kuchangua ni ofisi ya bunge then ofisi ya rais inaridhia. Hivyo ndivyo nionavyo.

Kama ni hivyo haya majungu yanaelekezwa kwa Zitto kwa misingi gani?
 
upuuzi wa jk msituletee!!!!!!kwa nini Zito,na si Godbless Lema kwenye hiyo presidential entourage!!vigezo vipi hutumika!toeni upuuzi wa jk!
Luka Toniki;
Kweli kuna watu mbao walishakwama kimawazo, hapa duniani. HAPO KWENYE NYEKUNDU KUNA KILA KITU. MAWAZO YALIYOKWAMA HAMNA MFANO WAKE
 
Back
Top Bottom