Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,845
- 5,064
wakenya kule juba wamshika biashara zote muhimu kama vifaa vya ujenzi, vifaa vya electronics nk....waganda wao wamejikita zaid kwenye nguo na baadhi ya wakenya nao wanafanya biashara hii.........watanzania walio wengi huko ni wamasai wanaendesha biashara yao ya kuuza dawa za miti shamba.....