Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
Asante sana mkuu Arafati kwa updates. Huyu Garang alikuwa mzalendo na mwenye mapenzi ya dhati kwa taifa lao. Nimefarijika kusikia kua Sudan Kusini wamemtanganza kua ndie Rais wao wa kwanza na Baba wa taifa lao! Dr. John Garang ataishi ktk mioyo ya wa'Sudan kusini daima!Kweli ila wanamkumbuka na wanamuenzi kwa vitendo, maana mara ya mwisho aliwaambia kuwa kazi yao ya kupambana mpaka wame eleweka imekwisha sasa imebaki kazi ya wananchni ya kuwaunga mkono kwa kupika kura ili sasa wawe huru zaidi.Huyu Jamaa wa kushoto kwake ndie Rais sasa hiviView attachment 33661Hapa ndipo alipoondoka kwenda kuuwawaView attachment 33660Hapa ni mara kwanza kwenda Khartoum July, 2005 Baada ya kutoka Msituni.View attachment 33659