Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

zitto hana maana.nilimwona kama mtu wa heshima kumbe nimekosea.hakuna cha kujifunza kwake
 
Kitendo cha Mh.Zitto Zuberi Kabwe kuandika barua kusitisha mkopo kutoka benki ya Dunia inaweza kuwa enjoy mwisho wake kuwa mbunge, Watanzania wote isipokuwa vibaraka wachache sana ndiyo wanaomuunga mkono hata humu mitandaoni wamo.

Kapoteza imani siyo miami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe.

Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.

P
 
Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.

My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante Comred
Wanakigoma mmeiheshimisha kigoma yenu
Msaliti aondokeee
💚💛💚💛💚
 
Back
Top Bottom