Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

Kama mwana kigoma Kaskazini, siumizi kichwa changu kufikiria atasema nini, ila nasubiri kusikia atasema nini, kisha nita-comment.
Cha muhim tu ajue, watu wanamachungu ya kukosa umeme, na wanamachungu sana na mafisadi waliosababisha hali hii.
Bora tuumie katika kipindi hiki, ila tukichukulie kama kipindi cha mpito, na kutafuta suluhisho la kudumu.

Kila la kheri Zitto katika mkutano wako.
 
MOD badilisheni kichwa cha habari....."Mh Zitto Dowans Kukutana na waandishi wa habari"......kesho huwa haifiki jamani.......this is misleading!
 
MOD badilisheni kichwa cha habari....."Mh Zitto Dowans Kukutana na waandishi wa habari"......kesho huwa haifiki jamani.......this is misleading!
Kichwa cha habari kinaweza kubadilishwa lakini na watanzania tuache kuwa "watabiri" kabla mtu hajaongea.

Nimesoma utabiri wa kila mtu hadi nacheka mwenyewe. Ngoja tuone atapoongea kitu tofauti tutarejea kwa style gani hapa... Huenda tukaelekea alikofikia Masatu kwa kumwomba radhi Mhe. Zitto.

Tumpe muda aongee kwanza kisha tukidadavue alichokiongea!
 
Vijiwe vya manzese tandale vya vijana wasioenda shule kabisa, taratibu vinaweza vikawa transformed kwenda kwenye forums kwa vijana waliosoma, yet, maada theme na style za kuongea zikawa zile zile. Idd simba akisema tunaweza tukawa na udumavu wa akili tunaona anatutukana!
 
Kama mwana kigoma Kaskazini, siumizi kichwa changu kufikiria atasema nini, ila nasubiri kusikia atasema nini, kisha nita-commnet.
Cha muhim tu ajue, watu wanamachungu ya kukosa umeme, na wanamachungu sana na mafisadi waliosababisha hali hii.
Bora tuumie katika kipindi hiki, ila tukichukulie kama kipindi cha mpito, na kutafuta suluhisho la kudumu.

Kila la kheri Zitto katika mkutano wako.

Tupo pamoja mkuu, we should not judge the book by its cover. Tusubiri tusikie anasema nini, then tuna-respond accordingly.

Ni kweli tuvumilie maumivu kwa wakati huu ili tupate suluhisho la muda mrefu maana kununua mitambo ya DOWANS ni sawa na mwanaume kuoa mwanamke mzuri sana huku akijua ni JINI.Atapata mahitaji yake anayoyahitaji kwa wakati huo lakini baadaye JINI litamrudi tu na atajuta kuzaliwa.
 
Mhe, Zitto Kabwe (MB) atakuwa na Press Conference kesho Oktoba 15, mida ya saa 6 adhuhuri Cortyard Hotel - Dar es Salaam.

Press Conference hii itahusiana na Mgawo wa Umeme unaoendelea. Kwa waandishi mlio Dar tunatarajia mtatufahamisha kinachoendelea. Kama kawaida, JF itatuma mwakilishi wake kutufahamisha kilichojiri.

Stay tuned
Vp hajafika kama kuna live: thread tuunge huko mkuu tunasubilia..!
 
mimi nasubiri feedback,aibu hii jamani yaani inamaana Dowanis sijui ndo ilikuwa the only solution?Zitto kaongea nini?
 
anazungumzia hili kwa capacity gani? Au kama mtanzania? Akisema tu alijua haya yatatokea atakuwa kajimaliza? Katumwa na bashe?
 
Lolote atakalosema awe makini sana na inabidi abase kwenye solution badala ya lawama vinginevyo naye ataonekana kituko.
 
Mugo"The Great";614589 said:
Tupo pamoja mkuu, we should not judge the book by its cover. Tusubiri tusikie anasema nini, then tuna-respond accordingly.

Ni kweli tuvumilie maumivu kwa wakati huu ili tupate suluhisho la muda mrefu maana kununua mitambo ya DOWANS ni sawa na mwanaume kuoa mwanamke mzuri sana huku akijua ni JINI.Atapata mahitaji yake anayoyahitaji kwa wakati huo lakini baadaye JINI litamrudi tu na atajuta kuzaliwa.

Kutafuta suluhisho la muda mrefu bila kununua hii mitambo sitegemei.

Mheshimi atazungumza kama:
Naibu/Katibu CHADEMA au
Mwenyekiti Mashirikia ...Hesabu za Serikali Bungeni au
Mwanasiasa?
 
Kichwa cha habari kinaweza kubadilishwa lakini na watanzania tuache kuwa "watabiri" kabla mtu hajaongea.

Nimesoma utabiri wa kila mtu hadi nacheka mwenyewe. Ngoja tuone atapoongea kitu tofauti tutarejea kwa style gani hapa... Huenda tukaelekea alikofikia Masatu kwa kumwomba radhi Mhe. Zitto.

Tumpe muda aongee kwanza kisha tukidadavue alichokiongea!
Mkuu na Mzee Mwinyi leo yuko anakutana na waandishi wa habari najua hapa si mahala pake ila ni ombi je kuna mwakilishi naomba kama yupo mtuelezee nae anasema nini.
 
Kutafuta suluhisho la muda mrefu bila kununua hii mitambo sitegemei.

Mheshimi atazungumza kama:
Naibu/Katibu CHADEMA au
Mwenyekiti Mashirikia ...Hesabu za Serikali Bungeni au
Mwanasiasa?

Mkuu sio kweli, ina maana bila DOWANS Tanzania haitapata solution ya muda mrefu ya hili tatizo?.

Acha kuwapa kichwa kija RA na EL
 
Mkuu sio kweli, ina maana bila DOWANS Tanzania haitapata solution ya muda mrefu ya hili tatizo?.

Acha kuwapa kichwa kija RA na EL

Tenda za matrekta chapchap kwa Jeetu, Tanesco sijui ni mwaka wa ngapi huu kila kukicha ni mvutano na dowans lakini ununuzi wa majenerator mapya mchakato bado unaendelea hadi lini?
 
Hiyo saa sita ya Zitto haijafika?
Saa 6 ishafika, Zitto alikuwa anaendelea na Press Conf yake lakini ghafla nikapata taarifa za wananchi wa Kipawa waliotanda barabarani kuzia msafara wa JK nikakata mawasiliano na mtu wetu aliye kwa Zitto kufuatilia la huku.

Hata hivyo, sikuona cha kuandika baada ya kusikiliza akiongea. Tutaandika akimaliza!
 
Back
Top Bottom