Zitto ang'atuka uongozi ACT Wazalendo. Mbowe atang'atuka lini CHADEMA?

Mahasimu wa CDM mlitakiwa mfurahie kutokung'gatuka Kwa Mbowe Badala ya kuumia.
 
Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ili damu changa na Mpya zishike hatamu.

Zitto anaachia ngazi ikiwa amekijenga chama hicho kujikita kwenye hoja na mambo ya msingi(issues) badala ya kile Chama Kingine Cha Matukio na kisicho na ajaenda yaani Chadema.

Chadema imekuwa chama Cha Matukio na upepo Kwa sababu ya kuwa na Kiongozi Sultani bwana Mbowe ambae kimsingi hana jipya, kiasi kwamba kadiri anavyozeeka ndivyo na chadema kinazeeka 😁😁

Alichosema Zitto akiwa katika kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM

My Take
Hongera bwana Zitto kwa Kufuata misingi ya Baba wa Taifa.

ACT imeonesha Uongozi kwenye mambo mengi hasa kwenye uchambuzi wa kiuchumi na jambo la Bima ya Afya, kule mna hoja za msingi sana Serikali ifuate ushauri wao.
Baada ya CCM kuacha kutumia dola kupora kura za wananchi.
 
Kwa hili namuunga mkono Zito kwa 100%. Kupisha wengine huleta afya kwa taasisi. Anachokifanya Mbowe ni kudhalilisha cdm kwa kuendelea kukaa madarakani muda wote huo, huku akiwa Hana jipya ndani ya cdm.
Kwa hilo sikuungi mkono. Sasa mwenyekiti wa Chama anachaguliwa katika mkutano mkuu.
Chaguzi zilizopita waliojitokeza kugombea na Mbowe ni wafuatao kwa uchache;
Zitto.
Mwambe.
Sumaye.
Nyalandu. N a sijui mwingine.
Sasa hapo wanachama wakaona anayewafaa bila kukipoteza chama mikono michafu ni Mbowe.
Jee hapo wewe kama mpiga kura ungempa nani boss?
Mie nawaunga mkono wapiga kura ndani ya Chadema kwa kuona kufaa kwa Mbowe dhidi ya hao wengine!
Kweli chama kingekabidhiwa kwa hao wengine Chadema ingeendelea kuwa hivi ilivyo?
Tuwe wakweli mkuu, ni kweli 'mabadiliko bora' tunayataka lakini sio 'bora mabadiliko'

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kutofautiana mitazamo ndio afya ya taasisi. Tufanye hivi, Mbowe angefariki au kupata matatizo ya kiafya ambayo atashindwa kuendesha majukumu yake cdm haitakaa iwe na mwenyekiti mwingine?

Kama cdm ni taasisi kubwa na haiwezi hata kutoa mwenyekiti mwingine, uwezo wao uko wapi? Ukiona chama zaidi ya 20yrs hakina succession plan ya uongozi wa juu, ujue hapo Kuna shida. Naheshimu mtazamo wako, lakini kwangu hilo halipo boss.
 
Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ili damu changa na Mpya zishike hatamu.

Zitto anaachia ngazi ikiwa amekijenga chama hicho kujikita kwenye hoja na mambo ya msingi(issues) badala ya kile Chama Kingine Cha Matukio na kisicho na ajaenda yaani Chadema.

Chadema imekuwa chama Cha Matukio na upepo Kwa sababu ya kuwa na Kiongozi Sultani bwana Mbowe ambae kimsingi hana jipya, kiasi kwamba kadiri anavyozeeka ndivyo na chadema kinazeeka 😁😁

Alichosema Zitto akiwa katika kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM

My Take
Hongera bwana Zitto kwa Kufuata misingi ya Baba wa Taifa.

ACT imeonesha Uongozi kwenye mambo mengi hasa kwenye uchambuzi wa kiuchumi na jambo la Bima ya Afya, kule mna hoja za msingi sana Serikali ifuate ushauri wao.
Ushaona wapi Vicoba vina Democracy ,ni Dictatorship TZ haiwezi kuanguka mikononi mwa CDM kamwe
 
Mjinga yoyote akipigwa kwa hoja anakimbilia kusema aliyempinga Ana itikadi tofauti na yeye huo nao ni UJINGA
Humu JF sio wote Nathan michango yao ni CCM au CHADEMA kuna watu hawana Itikadi za chama chochote ila lazima WAWAPINGE wajinga wajinga wenye mawazo ya Kijinga kama yako
Wewe nyumbu huna hoja
 
Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ili damu changa na Mpya zishike hatamu.

Zitto anaachia ngazi ikiwa amekijenga chama hicho kujikita kwenye hoja na mambo ya msingi(issues) badala ya kile Chama Kingine Cha Matukio na kisicho na ajaenda yaani Chadema.

Chadema imekuwa chama Cha Matukio na upepo Kwa sababu ya kuwa na Kiongozi Sultani bwana Mbowe ambae kimsingi hana jipya, kiasi kwamba kadiri anavyozeeka ndivyo na chadema kinazeeka 😁😁

Alichosema Zitto akiwa katika kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM

My Take
Hongera bwana Zitto kwa Kufuata misingi ya Baba wa Taifa.

ACT imeonesha Uongozi kwenye mambo mengi hasa kwenye uchambuzi wa kiuchumi na jambo la Bima ya Afya, kule mna hoja za msingi sana Serikali ifuate ushauri wao.
Kiongozi anang'atuka pale anapojua kuwa kazi aliyotumwa, ameikamilisha.
Kazi aliyotumwa Freeman Mbowe Bado hajaikamilisha.
Lazima aendelee mpaka kazi ikamilike.
Mwalimu Nyerere alikiongoza TANU kuanzia 1954 mpaka 1977, miaka 23!
Akaendelea kuiongoza CCM kwa miaka mingine 13.
JUMLA miaka 25!!.
Huo ndio uongozi thabiti.
Tuambie, Zitto Kabwe amekamilisha kazi gani ACT Wazalendo?
Kuifungisha Ndoa ya Mkeka na CCM Zanzibar?
Labda ndio kazi aliyokuwa anetumwa.
 
NI MJINGA NA MPUMBAVU NDIO ANAWEZA KUJADILI KUONDOKA UONGOZINI KWA MBOWE KISA ZITTO KAONDOKA
Kwanini usijadili CCM kuondoka MADARAKANI kupisha Vyama vingine viongoze NCHI
Wazee wa CDM mnahubiri demokrasia lakini nyinyi hamuitendi hiyo kitu, Nchi tukiwapa si mtajimilikisha kabisa?
 
Kiongozi anang'atuka pale anapojua kuwa kazi aliyotumwa, ameikamilisha.
Kazi aliyotumwa Freeman Mbowe Bado hajaikamilisha.
Lazima aendelee mpaka kazi ikamilike.
Mwalimu Nyerere alikiongoza TANU kuanzia 1954 mpaka 1977, miaka 23!
Akaendelea kuiongoza CCM kwa miaka mingine 13.
JUMLA miaka 25!!.
Huo ndio uongozi thabiti.
Tuambie, Zitto Kabwe amekamilisha kazi gani ACT Wazalendo?
Kuifungisha Ndoa ya Mkeka na CCM Zanzibar?
Labda ndio kazi aliyokuwa anetumwa.
CCM wakisema kazi waliyotumwa kuifanyia hii nchi bado hawajamaliza mtakubali wazee wa kombati?
 
CCM ilikamilisha kazi siku nyingi.
Hivi sasa CCM ni Chama Tawala, siyo Chama cha Siasa.
Wanachama wake ni Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi.
Hakina haja ya Wapiga Kura.
Piga Kura vyovyote utakavyo, CCM haina shida na wewe
Wakati ukifika, Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi watahakikisha CCM inaendelea kuwa Chama Tawala
 
Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ili damu changa na Mpya zishike hatamu.

Zitto anaachia ngazi ikiwa amekijenga chama hicho kujikita kwenye hoja na mambo ya msingi(issues) badala ya kile Chama Kingine Cha Matukio na kisicho na ajaenda yaani Chadema.

Chadema imekuwa chama Cha Matukio na upepo Kwa sababu ya kuwa na Kiongozi Sultani bwana Mbowe ambae kimsingi hana jipya, kiasi kwamba kadiri anavyozeeka ndivyo na chadema kinazeeka 😁😁

Alichosema Zitto akiwa katika kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM

My Take
Hongera bwana Zitto kwa Kufuata misingi ya Baba wa Taifa.

ACT imeonesha Uongozi kwenye mambo mengi hasa kwenye uchambuzi wa kiuchumi na jambo la Bima ya Afya, kule mna hoja za msingi sana Serikali ifuate ushauri wao.
KWani Mbowe ni kiongozi mzuri kwa CDM au Mbaya?
 
Mtag mzee wa Msoga hii post
 
Back
Top Bottom