Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

Naanza na usemi wa zamani wa "ujanja mwingi mbele kiza", ndivyo ilivyo kwa ZITTO ZUBERI KABWE, aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia CHADEMA.

Nimetoka kigoma janaJULY 2 2015,kwa ziara yangu ya siku 20...kijiji kwa kijiji na kata kwa kata jimbo la kigoma mjini.

Nikiwa nafanyia kazi utafiti wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu kwa ngazi ya urais, nisingependa kuvujisha juu ya urais kwa kuwa muajiri wangu bado ajatoa hadharani majibu yake.

Ila watafiti tuliamua kujiongeza na kuhoji kuhusu hali ya mbunge huyu kisiasa ili kujua hali yake kisiasa, mbali na dodoso la kikazi rasmi la muajiri wetu. majibu yake yakawa.

1. 20%awajui kama atagombea na hata akigombea awajakata shauri kumuunga mkono.

2. 43%watachagua bila kuangalia sifa za wagombea wa ubunge wa vyama vyao, hapo wapo CHADEMA na CCM.

3. 11%Wanamuona kma msaliti na mtu ambaye siwakutegemewa kwa lolote. na wanaafki juu ya tuhuma zake za usaliti.

4. 8%watamchagua wanamuona kama Icon ya kigoma na uzawa zaidi unatawala.

5. 6% ni hofu juu ya siasa zake za kidini alizo anzisha. wametoa maoni hawayo mchagua kwa kuogopa udini anaoanza kupandikiza hapa wengi ni madhehebu ya kikristo.

6. 2%wanasubiri kushawishiwa wakati wa kampeni na kwa sasa awajakata shauri wa kumchagua.

Hii kwangu naiona ni sababu tuh ya kwanza ya kumpoteza mbunge huyu wa zamani wa CHADEMA...
sababu zingine kubwa ni,

1. Nguvu ya chadema kigoma mjini, ambapo halimashauri ya kigoma ujiji ipo chini ya CHADEMA.

2.Nguvu ya ccm kigoma mjini ambapo Jimbo hilo hadi saa lipo chini ya mbunge wa CCM, mbali na miaka yote chadema kushinda halmashauri na vijiji vingi, bado CCM inaiona ndiyo kete yake turufu Nasehemu yenye unafuu luliko majimbo yote kwa Mkoa wa Kigoma.

3.Naona mkakati maalumu wa chadema wa bora tukose wote, ambapo hata wanachama wa viongozi wa CHADEMA Kigoma. Ambapo wanakiri hadharani kuwa ni bora washinde CCM kuliko msaliti Zitto.

4.Nguvu ya maadui wa ZITTO nje ya kigoma, hapa wapo wengi ambapo wanamtizama kama mtu mbaya, msaliti, mchongeaji, na hata walio pata matatizo kwenye kazi zao sababu ya ZITTO kipindi cha kamati PAC hawawote wameamua pia kuingilia uchaguzi wa kigoma, kwa ufadhili na fitina dhidi ya ZITTO

5.Ni ZITTO kutolewa muhanga na ACT badala ya kuona hatari hii kujikita kwake badala yake wagombea wote wa ACT wanamuhitaji azunguke kwenye majimbo yao. ndiyo inapelekea kuharibu zaidi, baada ya kuharibu haiba ya kijana huyo baada ya mtindo wa zomeazomea kuanza katika mikutano yake.

MAMBO HAYA YANAPELEKEA NISEME MA NINUKILIWE KUWA KAMA ZITTO ZUBERI KABWE ATASHINDA KIGOMA MJINI, NITATEMBEA UCHI KUANZIA KIBAHA MPAKA POSTA OFISI ZA BUNGE..... SAA 3 ASUBUHI..... NAMBA ZANGU ZA SIMU NI 0784 868312


Haya temebea uchi sasa, maneno mengi povuuuuu.
 
Akili fupi ZZK ndio adui yao mkuu, sasa wanaumbuka kwa chuki zao binafsi
 
naanza na usemi wa zamani wa "ujanja mwingi mbele kiza", ndivyo ilivyo kwa zitto zuberi kabwe, aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia chadema.

Nimetoka kigoma janajuly 2 2015,kwa ziara yangu ya siku 20...kijiji kwa kijiji na kata kwa kata jimbo la kigoma mjini.

Nikiwa nafanyia kazi utafiti wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu kwa ngazi ya urais, nisingependa kuvujisha juu ya urais kwa kuwa muajiri wangu bado ajatoa hadharani majibu yake.

Ila watafiti tuliamua kujiongeza na kuhoji kuhusu hali ya mbunge huyu kisiasa ili kujua hali yake kisiasa, mbali na dodoso la kikazi rasmi la muajiri wetu. Majibu yake yakawa.

1. 20%awajui kama atagombea na hata akigombea awajakata shauri kumuunga mkono.

2. 43%watachagua bila kuangalia sifa za wagombea wa ubunge wa vyama vyao, hapo wapo chadema na ccm.

3. 11%wanamuona kma msaliti na mtu ambaye siwakutegemewa kwa lolote. Na wanaafki juu ya tuhuma zake za usaliti.

4. 8%watamchagua wanamuona kama icon ya kigoma na uzawa zaidi unatawala.

5. 6% ni hofu juu ya siasa zake za kidini alizo anzisha. Wametoa maoni hawayo mchagua kwa kuogopa udini anaoanza kupandikiza hapa wengi ni madhehebu ya kikristo.

6. 2%wanasubiri kushawishiwa wakati wa kampeni na kwa sasa awajakata shauri wa kumchagua.

Hii kwangu naiona ni sababu tuh ya kwanza ya kumpoteza mbunge huyu wa zamani wa chadema...
Sababu zingine kubwa ni,

1. Nguvu ya chadema kigoma mjini, ambapo halimashauri ya kigoma ujiji ipo chini ya chadema.

2.nguvu ya ccm kigoma mjini ambapo jimbo hilo hadi saa lipo chini ya mbunge wa ccm, mbali na miaka yote chadema kushinda halmashauri na vijiji vingi, bado ccm inaiona ndiyo kete yake turufu nasehemu yenye unafuu luliko majimbo yote kwa mkoa wa kigoma.

3.naona mkakati maalumu wa chadema wa bora tukose wote, ambapo hata wanachama wa viongozi wa chadema kigoma. Ambapo wanakiri hadharani kuwa ni bora washinde ccm kuliko msaliti zitto.

4.nguvu ya maadui wa zitto nje ya kigoma, hapa wapo wengi ambapo wanamtizama kama mtu mbaya, msaliti, mchongeaji, na hata walio pata matatizo kwenye kazi zao sababu ya zitto kipindi cha kamati pac hawawote wameamua pia kuingilia uchaguzi wa kigoma, kwa ufadhili na fitina dhidi ya zitto

5.ni zitto kutolewa muhanga na act badala ya kuona hatari hii kujikita kwake badala yake wagombea wote wa act wanamuhitaji azunguke kwenye majimbo yao. Ndiyo inapelekea kuharibu zaidi, baada ya kuharibu haiba ya kijana huyo baada ya mtindo wa zomeazomea kuanza katika mikutano yake.

Mambo haya yanapelekea niseme ma ninukiliwe kuwa kama zitto zuberi kabwe atashinda kigoma mjini, nitatembea uchi kuanzia kibaha mpaka posta ofisi za bunge..... Saa 3 asubuhi..... Namba zangu za simu ni 0784 868312

sasa utatembea lini mkuu?
 
Back
Top Bottom